Makonda jifunze kutoka kwa Prof. Muhongo

Bashite Bashite utaanguka tu huo mwamvuli wa Drugs uliojifunika kwa sasa haukutoshi
Gharika yaja juu yako kilio cha watz kamwe Bwana hatakiacha kipite bila adhabu kuu kwako ni suala la muda tu . Nasema Bashite utaondoka tena kwa aibu kuu
Siku hizi kila ovu analotenda likiwemo la kufoji cheti akiambiwa anasema ni kwa sababu anapambana na madawa ya kulevya.

Nilivyomuona leo Magufuli linapokuja suala la uwajibikaji inaonyesha hana rafiki kabisa, hata yeye asifikiri kamuweka rais mfukoni.
 
Nani alikuwa na kibri kama cha Prof. Muhongo, jeuri, the arrogant person, untouchable, msomi aliyejiamini.

Alipokosolewa alikuwa akijificha kwenye mwamvuli wa Mafisadi wa vitalu kuwa wanamwonea wivu, wewe leo kila ukikosolewa unasema hao ni wauza unga hawanitakii mema.

Makonda usijione kuwa uko salama sana. Leo una kibri kama cha Prof.Muhongo, una jeuri ya kumuweka ndani mtu yeyote, lakini tambua kuwa kuna siku ambayo haina jina utaiona chungu kama ilivyo leo chungu kwa Muhongo.

Ni hayo tu.
Mkuu samahani sana hebu naomba urekebishe jina lake kwanza maana umetamka jina lisilo lake
 
Bashite alishashindwa kujifunza akiwa shuleni usitegemee anaweza kuelewa chochote
Mimi nashangaa Pogba kuwa naye mpaka sasa wakati ni mwizi wa cheti. Mwanafunzi gani anayefeli kila mitihani na pale mucoobs ilibidi marehemu sita aingilie kati angalau apewe kile cheti
 
Pole sana Prof Muhongo! Kweli huna bahati mwana wane mwana mayoooo.....pole sanaa ila ndio maisha lazima yaende
 
Nani alikuwa na kibri kama cha Prof. Muhongo, jeuri, the arrogant person, untouchable, msomi aliyejiamini.

Alipokosolewa alikuwa akijificha kwenye mwamvuli wa Mafisadi wa vitalu kuwa wanamwonea wivu, wewe leo kila ukikosolewa unasema hao ni wauza unga hawanitakii mema.

Makonda usijione kuwa uko salama sana. Leo una kibri kama cha Prof.Muhongo, una jeuri ya kumuweka ndani mtu yeyote, lakini tambua kuwa kuna siku ambayo haina jina utaiona chungu kama ilivyo leo chungu kwa Muhongo.

Ni hayo tu.
Anaekumbuka alimwambiaje Sendeka bungeni vile,,,,
 
Bora aondoke tanesco kule wanafurahia kuondoka kwake kwanza alimchongea mramba mambo ya uongo kwa mkulu hadi akamtumbua ili apige dili zake vizuri maana mramba alikuwa hawapatani
 
Nani alikuwa na kibri kama cha Prof. Muhongo, jeuri, the arrogant person, untouchable, msomi aliyejiamini.

Alipokosolewa alikuwa akijificha kwenye mwamvuli wa Mafisadi wa vitalu kuwa wanamwonea wivu, wewe leo kila ukikosolewa unasema hao ni wauza unga hawanitakii mema.

Makonda usijione kuwa uko salama sana. Leo una kibri kama cha Prof.Muhongo, una jeuri ya kumuweka ndani mtu yeyote, lakini tambua kuwa kuna siku ambayo haina jina utaiona chungu kama ilivyo leo chungu kwa Muhongo.

Ni hayo tu.
Msomi atakwenda CCM ni njaa profesa
 
FB_IMG_1535433382705.jpg
 
safari inasogea taratibuuuuu! mara paaapu yuko kitaa! watu watamgombea kama mpira
 
Jamaa nakumbuka ile kauli yake ya kua eti akiji uzulu inchi itatikisikaaa.

Madaraka ni kitu cha ajabu sanaaaa.inafika mahali mtu anajiona kua yeye tu ndio mwenye akili kuliko wengine.

Hili hata mtumbuaji naye anakasumba nalo.KIBURI CHA UZIMA.
Leo waliokuwa wanamshangilia hata akikohoa kina johnthebaptist hawataki hata kumsikia.
 
Back
Top Bottom