Makonda is almost so damn right!

Status
Not open for further replies.
Sema ukitaka kuwa na ndoa Ngumu, we jitumbukize kwa hao watu.......
Baba zangu wadogo wameoa wachaga na wako vizur mpaka leo. It all down to perception.
Mwenzio unamchukuliaje?
 
Wacha kuongea vitu general, jiongelee wewe, eti " mchaga yoyote.anajua kutoa" huh
Yes wanajua. The difference is kimya kimya sana bila attention yoyote.
Kama unadhani wachaga ni wagumu.. tembelea wapare.
 
Mengi alikuwa Mchaga wa tofauti sana, kwenye kampuni yake hakujawahi kusikika swala la kuajiri kwa kuangalia kabila.

Lakini kiuhalisia kuna taasisi nyingi sana, nyingi sana zimekuwa zikilalamikiwa kuhusu kuajiri kwa kuangalia kabila.
Kuna taasis wamejaa wasukuma.. tena wengi kuliko kabila lingine.. taasis hiii ni muhim sana hapa bongo na ni ngum kutoboa kama hujatoka kanda ya ziwa.
Kuna taasis wamejaa wahaya.. na kutoboa kamansio muhaya hufiki.

Usiwaseme wachaga tu.. kunanmakabila yamejazana sehem moja na wanajulikana.
 
Hivi wale watani wao Wapare wanasemaje juu ya hao jamaa huhusu ''Muaghaga'' mzuri/mwema?
 

Tanzania tuna unafiki wa kusema hakuna ukabila, ila ukiingia kwenye taasisi utagundua ukabila upo sana, ila anayetamka ndiye anayeonekana mkabila.

Kipindi hiki cha Magu unaweza kuona ni kwa jinsi gani teuzi ni za kanda moja.

Miaka kadhaa nyuma pia kuna taasisi zililalamikiwa kuajiri wanyakyusa peke yake.

Swala la wachaga huwa wakati mwingine ninalipa excuse ya kwamba jamaa wengi wako vizuri kishule, ni kabila la kwanza Tanzania kuona umuhimu wa elimu. Hivyo hata linapokuja swala la ajira labda ni kwa sababu hiyo.

But, truth be told, Tanzania hii kabila la kwanza kwa ukabila ni Wachaga.

I have vivid examples, tukianza kuyataja makampuni, taasisi ambazo wachaga ndiyo chaguo la kwanza kwenye ajira hatutamaliza.
 
Huku mtaani kwetu kuna mchaga kaziba njia eti kisa kanunua eneo hilo, tumeishi na kuitumia njia hiyo zaidi ya miaka ishirini na anaweza kujenga nyumba na njia ikabaki bila kuharibu kitu chochote.. ila tu roho mbaya yake anaona tunafaidi kupita pale!
Acha tuendelee kuzunguka hadi mtaa wa nne kuitafuta barabara kuu.
 
Yu wapi Mkwere, mmakonde, msukuma, mdigo, myao, mnyiha, mnyaturu, mkine, mdengereko au mkara aliye na tabia au hulka kaya mzee Mengi? mbona wachaga wanasakamwa namna hii! je hahuna watu wa makabila mengine huko uchagani? ombaomba, wenye matatizo, masikini hawasaidiwi uchagani? je wanafukuzwa huko uchagani? Roho mbaya au nzr na moyo wa kusaidia, wizi, ubadhirifu, unyan'ganyi na ubinafsi binadamu wote wameumbwa navyo havina kabila rangi wala dini.
 
Biseco tutajieni na wengine wa makabila mengine wanaosaidia watu angalau watano watano katika kila hayo makabila mengine yenye roho nzuri na wenye kusaidia watu. Kwa hao wachaga wenye roho mbaya tumemuona huyo 1 marehemu Mengi sasa tuje na upande wa pili kwa kuwa wao ni wema sana huwezi kukosa kuwataja angalau makabila10 tu tuone.
 
Hakuna anaeweza kutaja mkuu.. Bashite ni mpuuzi tuu
 

huwajui wachaga wee mpumbavu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…