Makonda: Hii dunia sio mali ya Mungu

Makonda: Hii dunia sio mali ya Mungu

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,892

Mpelekeeni taatifa Mkuu wa mkoa wa dar es salaam mwambieni kwa niaba ya watumishi wote duniani nampinga kwa maandiko zaidi ya saba yanayokanusha uongo aliouongea hadharani:-

1.kwanza hapo mwanzo MUNGU aliziumba mbingu na dunia.

2.Baba anaitwa Muumba wa mbingu na nchi (dunia)

3.Isaya 45:18
Maana BWANA, aliyeziumba mbingu, asema hivi; Yeye ni Mungu; ndiye aliyeiumba dunia na kuifanya; ndiye aliyeifanya imara; hakuiumba ukiwa, aliiumba ili ikaliwe na watu; Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine.

4.Isaya 66:1
BWANA asema hivi, Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu......

5.Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

6.Paulo anasema katika Waefeso 3:14-15
Kwa hiyo nampigia Baba magoti,ambaye kwa jina lake ubaba wote wa mbinguni na wa duniani unaitwa,

7.makonda asichanganye maandiko ,MUNGU anasema anatawala mbinguni na duniani ,maana yake utawala wake upo hapa tayari,dola ipo hapa,usalama wa taifa la duniani tuko hapa tukishirikiana na usalama wa mbinguni......mwambieni aendelee
tu na siasa ,mambo ya MUNGU atuachie tunaotetea maslahi ya MUNGU wa mbingu na dunia!

Nukuu toka kwa Kuhani Philemon Mwansepe

(Zab 24:1)Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake.

The earth is the LORD' s, and the fulness thereof; the world, and they that dwell therein.

MITHALI 16:18 Kiburi hutangulia uangamivu; Na roho yenye kutakabari hutangulia maanguko.
 
Huko ni kulewa kwa madaraka.
Hata shetani kabla hajamuasi Mwenyezi Mungu alijidanganya na kujidhihirishia uwezo wa kimungu na hatimae akadondoshwa kuzimu.

Siku yaja pale gadhabu ya Mungu na upanga wa moto utakavyo washukia madharimu hawa na tambo zao za kishetani.
 
Mpelekeeni taatifa Mkuu wa mkoa wa dar es salaam mwambieni kwa niaba ya watumishi wote duniani nampinga kwa maandiko zaidi ya saba yanayokanusha uongo aliouongea hadharani:-

1.kwanza hapo mwanzo MUNGU aliziumba mbingu na dunia.

2.Baba anaitwa Muumba wa mbingu na nchi (dunia)

3.Isaya 45:18
Maana BWANA, aliyeziumba mbingu, asema hivi; Yeye ni Mungu; ndiye aliyeiumba dunia na kuifanya; ndiye aliyeifanya imara; hakuiumba ukiwa, aliiumba ili ikaliwe na watu; Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine.

4.Isaya 66:1
BWANA asema hivi, Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu......

5.Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

6.Paulo anasema katika Waefeso 3:14-15
Kwa hiyo nampigia Baba magoti,ambaye kwa jina lake ubaba wote wa mbinguni na wa duniani unaitwa,

7.makonda asichanganye maandiko ,MUNGU anasema anatawala mbinguni na duniani ,maana yake utawala wake upo hapa tayari,dola ipo hapa,usalama wa taifa la duniani tuko hapa tukishirikiana na usalama wa mbinguni......mwambieni aendelee
tu na siasa ,mambo ya MUNGU atuachie tunaotetea maslahi ya MUNGU wa mbingu na dunia!

Nukuu toka kwa Kuhani Philemon Mwansepe

(Zab 24:1)Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake.

The earth is the LORD' s, and the fulness thereof; the world, and they that dwell therein.

MITHALI 16:18 Kiburi hutangulia uangamivu; Na roho yenye kutakabari hutangulia maanguko.

Unajiumiza mwenyewe tu roho yako bila sababu yoyote
 
Tulia bila wivu wako juu yake usikilize tena hadi mwisho..

Ona mgazeti wote umeenda kusoma Bible na ku C&P kuja kuandika majanga huku hauna subira wala hauelewi unayosikiliza.. eeeh

Acha wivu
Hivi hata ndugu zako wameshindwa kukusaidia ili uondokane na huu uchizi wa kujitakia? Au nao wanaambulia makombo unayopewa na Bashite?
 
Mnahangaika bure na makonda, yeye anachapa kazi aliyotumwa nanyi fanya za kwenu
Kusema kuwa dunia hii si mali ya Mungu ndio kazi aliyotumwa kuifanya? Nyakati nyingine jifunzeni kuutenga uadui na urafiki kama vile mtengavyo mchele na chuya!
Ni dhahiri sasa Mungu muumba mbingu na nchi ameanza kutenda na kujibu maombi ya waja wake juu ya watu hawa na ule ushetani wao umeanza kujidhihirisha vinywani mwao! Mungu usichoke kuwaonyesha kuwa mamlaka waliyo nayo hutoka kwako na sio kwa utashi wao bali kwa ridhaa yako.
Naamini ipo siku watatubu kwako!
 
Mnahangaika bure na makonda, yeye anachapa kazi aliyotumwa nanyi fanya za kwenu
Utakuwa na matatizo kichwani? Umeona kuna mtu amehangaika na huyo Makonda wako, au watu wanahangaika na hoja zake? Hivi kwanini JF inaruhusu mpaka wajinga wajinga wanajisajili hapa? Hapo hata ukiulizwa utaje mambo mawili tu ambayo huyo Makonda wako ameyafanikisha kwa ufanisi utabaki kujiumauma na blah bla kibao!
 
Back
Top Bottom