Makonda: CHADEMA wamekimbia kufanya mikutano na kuanza kulilia vyombo vya habari kufanyiwa mahojiano

Hakuna mambo makubwa yoyote ile aliyoyaandika hapo.hakuna haki isiyo na wajibu. Wajibu ni pamoja na kusikiliza maelekezo na maelezo.sasa wewe umeelekezwa jambo halafu wewe unaanza kwenda kuvamia ofisi za watu kutaka uhojiwe. Kwani ni lazima? Kifungu kipi cha katiba kimevunjwa kwa yeye kupewa taarifa ya kuahirishwa kwa mahojiano? Kifungu kipi cha katiba kingekuwa kimevunjwa ikiwa asiingeitwa?
Kasikilize Hotuba ya Nape (Waziri wa Habari) ya Jana baada ya Tukio ukimaliza njoo ukoment ulichoandika tena..
"Kupanga ni Kuchagua" ila naona umechagua kukikosa kiungo muhimu mwilini"
 
Naona unasema kuwa kuna sheria imevunjwa. Basi kama kuna sheria imevunjwa mwambie au mshauri kiongozi wako huyo akafungue kesi.kikubwa nawashaurini ninyi CHADEMA mfungue Tv na redio zenu na siyo kila siku kulalamika tu kama watoto. Kwani nini kinawashinda kufungua Tv na redio zenu? Kwani ni shilingi ngapi mpaka mshindwe kufungua? Si hapa majuzi tu mmetafuna billion 2.7?
Nahisi Unanitrigger nikutukane ila haiwezi kutokea..
Kutukana watoto wadogo kama wewe!...
Jifunze kujenga hoja usibuni Kitu ambacho sina ukaamini ninacho..

Nimesema mara zote mimi sio CDM ila naona wewe na your Fkcing little Brain.. Huelewi..
CCM tuliobaki kukitetea Chama chetu kwa huu ujinga mnaofanya sasa ndo tunajua machungu ya Chama..

Tulifunzwa Maudhui na Shule za CCM tukiwa JKT Ccm enzi hizo..
Watu tunaoJua uchungu wa CCM tunachukizea na upuuzi wa nyinyo mnaojiita machawa kwa kuimba na kusifu huku mkiabudu..

Aisee Mnatia hasira sana CCM tumeitoa mbali Sana ..Japo tumeikuta miaka hiyo ya 95 ilikuwa mshike mshike tuliibuka kidedea mpaka miaka hii ya sasa hivi..

Mnatia hasira sana nyinyi watoto wa zinaaa..
Mnatia hasira sana nyinyi watoto wa zinaaa..
Mnatia hasira sana nyinyi watoto wa zinaaa..

Tumepambana na CCM hii tumelala porini,Tumepigana vita vikubwa vya Ardhini ,Wazi na Vificho washenzi nyinyi mnaibuka mnaanza kutetea ujinga na kuharibu amani Tulioijenga..

Hii ni komenti yangu ya mwisho kwako maana kujibishana na wapuuzi naweza nikajikuta nakuwa mpuuzi
 
Kumbe na yeye hakuwa sawa kichwani alipovamia clouds kulazimisha clip yake ilushwe shilawadu
 
Mmepewa ukweli japo ni mchungu sana kwenu.
Waki amua kwenda kwenye mikutano mna wabania. Mara kibali cha helikopta, mara hatuna polisi wa kuwalinda.
Mara mme zidisha muda.
Halafu Makonda ashughulike na Ccm yakd iliyi oza mambo ya Chadema awa achie Chadema.
 
CHADEMA hawauwezi muziki wa Makonda. Halafu kaja kwa kuwashtukiza. Kibaya stori za CHADEMA ni zilezile na wasemaji wake ni walewale. Yaani kila siku ni katiba mpya na mambo ya uchaguzi halafu wazungumzaji ni Mbowe, Lissu, Heche, Lema, Mnyika, Pumbulu na makada wengine waandamizi. CCM imemtanguliza kwanza Makonda kabla ya wengine kuongeza nguvu huku Makonda nae kila siku akija na kitu tofauti kinachomgusa mwananchi moja kwa moja. Kisiasa CCM iko mbali sana.
 
Yani mtu aliyepigwa ban na dunia na mtu mwenye vyeti fake aipe chadema ukweli, ni mjinga pekee wa kuamin hilo.
Mku yani viongozi Chadema wanatuvunja moyo. Wajitokeze tu waendelee na mikutano kwani tunapenda sana waingie mitaani na kuibua hoja mbalimbali.
 
Nahisi Unanitrigger nikutukane ila haiwezi kutokea..
Kutukana watoto wadogo kama wewe!...
Jifunze kujenga hoja usibuni Kitu ambacho sina ukaamini ninacho..

Nimesema mara zote mimi sio CDM ila naona wewe na your Fkcing little Brain.. Huelewi..
CCM tuliobaki kukitetea Chama chetu kwa huu ujinga mnaofanya sasa ndo tunajua machungu ya Chama..

Tulifunzwa Maudhui na Shule za CCM tukiwa JKT Ccm enzi hizo..
Watu tunaoJua uchungu wa CCM tunachukizea na upuuzi wa nyinyo mnaojiita machawa kwa kuimba na kusifu huku mkiabudu..

Aisee Mnatia hasira sana CCM tumeitoa mbali Sana ..Japo tumeikuta miaka hiyo ya 95 ilikuwa mshike mshike tuliibuka kidedea mpaka miaka hii ya sasa hivi..

Mnatia hasira sana nyinyi watoto wa zinaaa..
Mnatia hasira sana nyinyi watoto wa zinaaa..
Mnatia hasira sana nyinyi watoto wa zinaaa..

Tumepambana na CCM hii tumelala porini,Tumepigana vita vikubwa vya Ardhini ,Wazi na Vificho washenzi nyinyi mnaibuka mnaanza kutetea ujinga na kuharibu amani Tulioijenga..

Hii ni komenti yangu ya mwisho kwako maana kujibishana na wapuuzi naweza nikajikuta nakuwa mpuuzi
CCM hatuna watu wa aina yako wanaojikita kutukana matusi badala ya kujenga hoja, CCM Haina watu aina yako wanaoshambulia mtu kwa lugha za kudhalilisha badala ya kujenga hoja.sasa kuzaliwa kwangu kuna husiana vipi na hoja iliyopo hapa.umeishiwa hoja unaanza kutukana matusi.

Pia CCM Haina watu aina yako wa kujifanya CCM Ni mali yao.maana unataka ujifanye kana kwamba CCM Ni mali yako ambayo hutakiwi kukosolewa wala kuambiwa ukweli. Wewe siyo mwana CCM na kama ni mwana CCM Basi huna mapenzi mema na CCM na wala hupo CCM kwa maslahi ya chama na Taifa letu bali upo kwa maslahi yako binafsi.upo mguu mmoja ndani mwingine nje.

Jifunze kuwa na kifua na kuvumilia hoja kinzani ambazo hukubaliani nazo badala ya kutukana matusi na kuishia kujidhalilisha wewe mwenyewe.ukitukana matusi lazima ufahamu ya kuwa hunidhalilishi mimi bali unajidhalilisha wewe binafsi . Endelee kupigania CHADEMA nami naendelea kuipigania CCM na Taifa langu na kutoa ushauri chanya pale napoona kuna hitajika kufanya hivyo .
 
CHADEMA hawauwezi muziki wa Makonda. Halafu kaja kwa kuwashtukiza. Kibaya stori za CHADEMA ni zilezile na wasemaji wake ni walewale. Yaani kila siku ni katiba mpya na mambo ya uchaguzi halafu wazungumzaji ni Mbowe, Lissu, Heche, Lema, Mnyika, Pumbulu na makada wengine waandamizi. CCM imemtanguliza kwanza Makonda kabla ya wengine kuongeza nguvu huku Makonda nae kila siku akija na kitu tofauti kinachomgusa mwananchi moja kwa moja. Kisiasa CCM iko mbali sana.
CHADEMA haina mawazo mapya wala sera mpya .ni yale yale kila siku ,ni kulia lia kila siku na malalamiko kila siku utafikiri watoto wadogo.
 
Mku yani viongozi Chadema wanatuvunja moyo. Wajitokeze tu waendelee na mikutano kwani tunapenda sana waingie mitaani na kuibua hoja mbalimbali.
Hawawezi kufanya mikutano kwa sababu pesa zote walishakomba na kukausha Kibubu cha pesa.
 
Waki amua kwenda kwenye mikutano mna wabania. Mara kibali cha helikopta, mara hatuna polisi wa kuwalinda.
Mara mme zidisha muda.
Halafu Makonda ashughulike na Ccm yakd iliyi oza mambo ya Chadema awa achie Chadema.
Weka ushauri hapa ambao unaonyesha CHADEMA wamenyimwa kibali cha kufanya mikutano hapa Nchini.acheni uongo wenu na kuleta sababu zisizo na ukweli.hivi ninyi hamuwezi kufanya mikutano ya hadht bila helkopta? Au kwa sababu mnajuwa mnafanya ufisadi wa pesa kwa kutumia helikopta?
 
Lucas kinachofanyika hata huko ni sawa na uporaji fomu uliofanywa kwa wagombea waliiiooonekana kuhatarisha ugali wa ccm,plus kuwateka juu.Hivi sasa vyombo chawa kutotoa fursa 🤣
CHADEMA acheni kulia lia kama watoto wadogo.
 
Kipigo Cha jamaa mmoja kisa kuuliza mbona msafara ni mrefu??angekufa pale simike Jana iyo
 
Huyu Mwenezi ni Mjinga WanaCHADEMA mpuuzeni.

Sote tunajua yeye na Chalamila ndio wako nyuma ya Sakata hili la WASAFI.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom