Wewe ndio mzigo. Wafanyabiashara wa Arusha wanamuunga mkono sana Makonda ndio maana kila project anayofanya anapata michango ya wafanyabiashara. Pia wananchi na ccm wanamkubali sana kuliko huyo Gambo wakoArusha ni mji wa wafanyabiashara huwenda kuliko miji yote Tanzania
Arusha kila mtu ni mfanyabiashara
Arusha wahuni ni wengi saana
Juzi nipo na wazee na viongozi baadhi waandamizi wa CCM mkoa wa Arusha, wengi wanaonesha kukerwa sana na Anayoyafanya Makonda kwa Gambo.
Wazee hawamkubali kabisa kabisa, kwanza anaharibu biashara za watu kila siku anaziba barabara kwaajili ya maslahi yake kisiasa
Bado anaharibu taswira ya chama kwa kuropoka hovyo kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa.
Lakini cha muhimu zaidi, tangu aende Arusha hakuna ch maana kilichobadilika Arusha tofauti na Mwanzo
Kiufupi, Makonda ni Mzigo
Sasa unamhamsha wa nini ? achana naye. Kiongozi hawezi ropoka namna ileArusha ni mji wa wafanyabiashara huwenda kuliko miji yote Tanzania
Arusha kila mtu ni mfanyabiashara
Arusha wahuni ni wengi saana
Juzi nipo na wazee na viongozi baadhi waandamizi wa CCM mkoa wa Arusha, wengi wanaonesha kukerwa sana na Anayoyafanya Makonda kwa Gambo.
Wazee hawamkubali kabisa kabisa, kwanza anaharibu biashara za watu kila siku anaziba barabara kwaajili ya maslahi yake kisiasa
Bado anaharibu taswira ya chama kwa kuropoka hovyo kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa.
Lakini cha muhimu zaidi, tangu aende Arusha hakuna ch maana kilichobadilika Arusha tofauti na Mwanzo
Kiufupi, Makonda ni Mzigo
Wewe mwenyeji wa Arusha. Ni kipi kimebadilika pale?wewe sio mkazi wa Arusha ni mbea flani hivi kutoka mikoa ya ukanda wa Magharibi.
Acha kumuingiza chaka huyo makondaWewe ndio mzigo. Wafanyabiashara wa Arusha wanamuunga mkono sana Makonda ndio maana kila project anayofanya anapata michango ya wafanyabiashara. Pia wananchi na ccm wanamkubali sana kuliko huyo Gambo wako
Arusha ni mji wa Wamasai na Wameru. Wachaga ni wakuja tu kama Wasukuma na makabila mengine hapo Arusha. Eti Wachaga wa Arusha!!Acha kumuingiza chaka huyo makonda
Huwajui hao wachaga wa arusha vizuri
Ukabila ni mbegu ya chuki achana nayo mkuu.Acha kumuingiza chaka huyo makonda
Huwajui hao wachaga wa arusha vizuri
Pascal Mayalla anamkubali Sana huyo mwamba.Arusha ni mji wa wafanyabiashara huwenda kuliko miji yote Tanzania
Arusha kila mtu ni mfanyabiashara
Arusha wahuni ni wengi saana
Juzi nipo na wazee na viongozi baadhi waandamizi wa CCM mkoa wa Arusha, wengi wanaonesha kukerwa sana na Anayoyafanya Makonda kwa Gambo.
Wazee hawamkubali kabisa kabisa, kwanza anaharibu biashara za watu kila siku anaziba barabara kwaajili ya maslahi yake kisiasa
Bado anaharibu taswira ya chama kwa kuropoka hovyo kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa.
Lakini cha muhimu zaidi, tangu aende Arusha hakuna ch maana kilichobadilika Arusha tofauti na Mwanzo
Kiufupi, Makonda ni Mzigo
Sehemu pekee nakinzana na Mr PPascal Mayalla anamkubali Sana huyo mwamba.
Wachaga wakiondoka Arusha kipindi cha mwisho wa mwaka mji unabakigi kama gofuArusha ni mji wa Wamasai na Wameru. Wachaga ni wakuja tu kama Wasukuma na makabila mengine hapo Arusha. Eti Wachaga wa Arusha!!
Sasa ushafuatilia kwa karibu maeneo wanakoishi hao Wamasai na Wameru? Maendeleo mengi ya majengo, na mandhari ya mji wa Arusha yameletwa na wageni!Arusha ni mji wa Wamasai na Wameru. Wachaga ni wakuja tu kama Wasukuma na makabila mengine hapo Arusha. Eti Wachaga wa Arusha!!
Usukuma, uccm wao... Tofauti na hapo Mayalla haendani kabisa na Bashite!Pascal Mayalla anamkubali Sana huyo mwamba.