Makonda awe makini na mji wa Arusha

Makonda awe makini na mji wa Arusha

TheMaster

Member
Joined
Aug 10, 2023
Posts
61
Reaction score
131
Arusha ni mji wa wafanyabiashara huwenda kuliko miji yote Tanzania

Arusha kila mtu ni mfanyabiashara

Arusha wahuni ni wengi saana

Juzi nipo na wazee na viongozi baadhi waandamizi wa CCM mkoa wa Arusha, wengi wanaonesha kukerwa sana na Anayoyafanya Makonda kwa Gambo.

Wazee hawamkubali kabisa kabisa, kwanza anaharibu biashara za watu kila siku anaziba barabara kwaajili ya maslahi yake kisiasa
Bado anaharibu taswira ya chama kwa kuropoka hovyo kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa.

Lakini cha muhimu zaidi, tangu aende Arusha hakuna ch maana kilichobadilika Arusha tofauti na Mwanzo

Kiufupi, Makonda ni Mzigo
 
Wewe ndio mzigo. Wafanyabiashara wa Arusha wanamuunga mkono sana Makonda ndio maana kila project anayofanya anapata michango ya wafanyabiashara. Pia wananchi na ccm wanamkubali sana kuliko huyo Gambo wako
 
Sasa unamhamsha wa nini ? achana naye. Kiongozi hawezi ropoka namna ile
 
Wewe ndio mzigo. Wafanyabiashara wa Arusha wanamuunga mkono sana Makonda ndio maana kila project anayofanya anapata michango ya wafanyabiashara. Pia wananchi na ccm wanamkubali sana kuliko huyo Gambo wako
Acha kumuingiza chaka huyo makonda
Huwajui hao wachaga wa arusha vizuri
 
Acha kumuingiza chaka huyo makonda
Huwajui hao wachaga wa arusha vizuri
Arusha ni mji wa Wamasai na Wameru. Wachaga ni wakuja tu kama Wasukuma na makabila mengine hapo Arusha. Eti Wachaga wa Arusha!!
 
Arusha ni mji wa wafanyabiashara huwenda kuliko miji yote Tanzania

Arusha kila mtu ni mfanyabiashara

Arusha wahuni ni wengi saana

Juzi nipo na wazee na viongozi baadhi waandamizi wa CCM mkoa wa Arusha, wengi wanaonesha kukerwa sana na Anayoyafanya Makonda kwa Gambo.

Wazee hawamkubali kabisa kabisa, kwanza anaharibu biashara za watu kila siku anaziba barabara kwaajili ya maslahi yake kisiasa
Bado anaharibu taswira ya chama kwa kuropoka hovyo kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa.

Lakini cha muhimu zaidi, tangu aende Arusha hakuna ch maana kilichobadilika Arusha tofauti na Mwanzo

Kiufupi, Makonda ni Mzigo
Pascal Mayalla anamkubali Sana huyo mwamba.
 
Arusha ni mji wa Wamasai na Wameru. Wachaga ni wakuja tu kama Wasukuma na makabila mengine hapo Arusha. Eti Wachaga wa Arusha!!
Sasa ushafuatilia kwa karibu maeneo wanakoishi hao Wamasai na Wameru? Maendeleo mengi ya majengo, na mandhari ya mji wa Arusha yameletwa na wageni!
Kama unabisha nenda Matejoo na Sokoni II.
 
Inaoneka wewe utakuwa ni mdhulumati na una hulka ya wizi wizi na kupenda shortcuts kama ilivyo asili yenu watu wa kaskazini na hivyo basi lazima makonda awe adui yako.
 
Back
Top Bottom