johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,163
- 164,616
Wakati wa msiba wa mzee Sitta hawa vijana wawili walijinasibu kupata malezi ya mzee Sitta.Nikiwaangalia wote wawili wamerithi sifa kuu ya mzee Sitta ambayo ni kujiamini na ujasiri.Lakini ukiwaangalia kwa makini mmoja anaelekea kufanana zaidi kifikra na Sitta kuliko mwingine.Swali langu ni yupi kati yao Makonda au Zitto anayeweza kuvaa viatu vya mzee Sitta?