Wenye tume watampa,haina shida.Mwanasiasa mchumia tumbo Daudi Bashite ajiitaye Paul Makonda anajulikana kwa tamaa na kupenda madaraka.
Sasa ni rasmi kuwa atagombea Arusha. Kama anajiamini, kwanini asigombee kwao au hana kwao? Je Arushwa watakuwa mazezeta wamchague mtu muovu
Je akibwagwa, atarejeshwa tena kama iivyotokea baada ya kugaragazwa Kigamboni. Anazo sifa za kuchaguliwa? Arusha msituangushe Je Makonda aka Bashite atatoboa Arusha?
Hategemei kura yule bora apite kwenye mchujo wa chama chake tuAka waulize Batilda Bhuriani na Monaban. Siasa za Arusha tuna zijua wenyewe. Kuona ana pendwa na wale wahuni wanao jiita wadudu asi fikiri watu wote wa Arusha akili zetu ni sawa na wale wadudu. Ajiandae kisaikolojia..
Hakuna mwanasiasa yeyeto hapa Tanganyika anayeweza kumshida Makonda,hata wakati anashindwa na kwa kura 1 na Ndungurile alikuwa amepishana na Magufuli na hakina Bashiru/Polepole,na Ndungurile hakapitia humo lasivyo Makonda hangelikuwa mbunge hapa Kigamboni,kama unabisha subiri kipenga kipulizwe ndio uhamini.Mwanasiasa mchumia tumbo Daudi Bashite ajiitaye Paul Makonda anajulikana kwa tamaa na kupenda madaraka.
Sasa ni rasmi kuwa atagombea Arusha. Kama anajiamini, kwanini asigombee kwao au hana kwao? Je Arushwa watakuwa mazezeta wamchague mtu muovu
Je akibwagwa, atarejeshwa tena kama iivyotokea baada ya kugaragazwa Kigamboni. Anazo sifa za kuchaguliwa? Arusha msituangushe Je Makonda aka Bashite atatoboa Arusha?
Kwa nini asiende kugombea Kizimkazi, si kule nako ni CCM? Halafu kwa nini hataki kugombea kwao Kolomije ambako pia CCM iko? 🤔Mwanasiasa mchumia tumbo Daudi Bashite ajiitaye Paul Makonda anajulikana kwa tamaa na kupenda madaraka.
Sasa ni rasmi kuwa atagombea Arusha. Kama anajiamini, kwanini asigombee kwao au hana kwao? Je Arushwa watakuwa mazezeta wamchague mtu muovu
Je akibwagwa, atarejeshwa tena kama iivyotokea baada ya kugaragazwa Kigamboni. Anazo sifa za kuchaguliwa? Arusha msituangushe Je Makonda aka Bashite atatoboa Arusha?
Makonda ni mtu anapenda sana kamari.Mwanasiasa mchumia tumbo Daudi Bashite ajiitaye Paul Makonda anajulikana kwa tamaa na kupenda madaraka.
Sasa ni rasmi kuwa atagombea Arusha. Kama anajiamini, kwanini asigombee kwao au hana kwao? Je Arushwa watakuwa mazezeta wamchague mtu muovu
Je akibwagwa, atarejeshwa tena kama iivyotokea baada ya kugaragazwa Kigamboni. Anazo sifa za kuchaguliwa? Arusha msituangushe Je Makonda aka Bashite atatoboa Arusha?
We mbwa koko kwao ni wapi? We hapo ulipo ni kwenu? Akili imejaa matope, Tanzania ni moja kaelimike we karunguyeye. Mmezoea ukabila, Arusha ni jiji halina huo upumbavu wapo watanzania wa makabila yoteMwanasiasa mchumia tumbo Daudi Bashite ajiitaye Paul Makonda anajulikana kwa tamaa na kupenda madaraka.
Sasa ni rasmi kuwa atagombea Arusha. Kama anajiamini, kwanini asigombee kwao au hana kwao? Je Arushwa watakuwa mazezeta wamchague mtu muovu
Je akibwagwa, atarejeshwa tena kama iivyotokea baada ya kugaragazwa Kigamboni. Anazo sifa za kuchaguliwa? Arusha msituangushe Je Makonda aka Bashite atatoboa Arusha?
Rubbish!Mwanasiasa mchumia tumbo Daudi Bashite ajiitaye Paul Makonda anajulikana kwa tamaa na kupenda madaraka.
Sasa ni rasmi kuwa atagombea Arusha. Kama anajiamini, kwanini asigombee kwao au hana kwao? Je Arushwa watakuwa mazezeta wamchague mtu muovu
Je akibwagwa, atarejeshwa tena kama iivyotokea baada ya kugaragazwa Kigamboni. Anazo sifa za kuchaguliwa? Arusha msituangushe Je Makonda aka Bashite atatoboa Arusha?
Rubbish makonda au wewe?Rubbish!
Kwani Lema ni nani, kwa mtazamo wa huyo bwege Lema kwao MachameKama Lema angelikuwepo asingelipita......hawa wengine akisaidiwa na kuiba kura atapita
Heri mimi mbwa koko kuliko wewe kisiiiiimiiiiWe mbwa koko kwao ni wapi? We hapo ulipo ni kwenu? Akili imejaa matope, Tanzania ni moja kaelimike we karunguyeye. Mmezoea ukabila, Arusha ni jiji halina huo upumbavu wapo watanzania wa makabila yote
Makonda 2020 sio kwamba alishindwa bali alipishana na Magufuli wakati Magufuli alitaka haendelee kuwa mkuu wa Mkoa Dar, Makonda hakakataa ndipo Magufuli na hakakataa kumuunga mkono pamoja na Bashiru/Polepole na wajumbe wakapitia mlemle, lakini nakwambia hivi hakuna mwanasiasa yeyeto hapa Tanganyika anayeweza kumshida Makonda kama hakuna figisu.Makonda ni mtu anapenda sana kamari.
Mwaka 2020 alicheza bahati nasibunakapoteza baada ya kuacha u RC wa DSM akapoteza cheo kakipoteza na ubunge akaukosa sasa naona anarudia mchezo uleule.
Kati ya Batlida Burihani na Paul makonda yupi ni heavy weight ?Kama Lema angelikuwepo asingelipita......hawa wengine akisaidiwa na kuiba kura atapita
Arusha siyo Mwanza hili ni jiji lililostaarabika hakuna upuuzi wa ukabila, Bill Clinton aliibatiza kuwa ni Geneva ya Africa msilinganishe na hivyo vijiji vyenu km Mwanza na Mbeya huko lazima aidha uwe msukuma au mnyakyusa. Arusha ktk historia yake imeongozwa na makabila mengi tofauti akiwemo comrade Abdulrahman KinanaJe anayestahili kuwa MP wa Arusha ni nani maaana hata Gambo ni muamiaji hapo Arusha.
Sikumbuki kusema Konda Boy niPascal Mayalla anasema Makonda ndio chaguo la Ccm hapo Arusha
Hiyo reform kafanye na mke wako, watanzania OKTOBA WANATIKI SAMIANaomba uchaguzi usifanyike pasipo reforms.
#No reforms no election