The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 10,959
- 13,424
Mwanasiasa mchumia tumbo Daudi Bashite ajiitaye Paul Makonda anajulikana kwa tamaa na kupenda madaraka.
Sasa ni rasmi kuwa atagombea Arusha. Kama anajiamini, kwanini asigombee kwao au hana kwao? Je Arushwa watakuwa mazezeta wamchague mtu muovu
Je akibwagwa, atarejeshwa tena kama iivyotokea baada ya kugaragazwa Kigamboni. Anazo sifa za kuchaguliwa? Arusha msituangushe Je Makonda aka Bashite atatoboa Arusha?