mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
Wee tapika tu lakini habari ndiyo hiyo....hata mimi imenisikitisha sana lakini sina jinsi.nasikia kutapika
R.I.P ccm,mmeiga ya chadema jangwani i5a itawatokea puani.
Mkuu, copy hiyo meseji kwenye simu yako ya mkononi na uwatumie ndugu na marafiki wote.Hii imetulia,ni meseji kwa chama tawala kwamba kama hawataacha ngonjera leo basi ni bora waachie madaraka leo 2015 mbali taifa linaweweseka
Copy hiyo meseji kwenye simu yako na uwatumie ndugu na marafiki wote kabla ya kesho. Binafsi hadi sasa nimeshatumaMkuu BashaDido kwenye taarifa hiyo kuna kitu umesahau hao wamiliki wa Daladala wamesema hata muda huo wa saa mbili usiku ile picha ya Jembe na Nyundo ibadilishwe iwe Kijiko na Uma au Kisu ili kufikisha maudhui halisi ya hicho chama cha Magamba