Makonda Aongoza Viongozi wa Serikali Kuhani Msiba wa W. Kabwe, atoa hotuba

Bukanga

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
2,857
1,936
Mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda leo akiwa kwenye msiba wa aliyekuwa mkurugenzi wa jiji la Dar amesema kila mtu afanye kazi kulingana na nafasi yake na wajibu wake ili wasimtwishe mzigo marehemu Wilson Kabwe ambaye amekwisha kutangulia mbele ya haki abaki salama, Habari katika picha na video inajieleza..


13254370_250340658664468_2828438791025087251_n.jpg


rip.jpg
 
Makonda ana courage ya ajabu sana. Kusema kweli watu walifikiri angemtuma Mkuu wa Wilaya mojawapo kati ya Kinondoni Ilala au Temeke kumwakilisha.

Hata kama ndugu wanasema Ndugu kabwe hakufariki kwa mstuko wa kusimamishwa ajira, lakini the fact kwamba jambo hili limetokea wakati amesimamishwa ni ngumu kutenganisha
 
Ndugu wanajua Marehemu hakuonewa na sasa wanajikita zaidi kwenye mirathi ya mali hata kama ilipatikana kwa ufisadi.
Wakina kabwe hao nasikia wana mpunga wa hatari, yan huyo marehemu pamoja na hela ndefu aliyonayo, kuna ndugu zake wengine ni balaa zaidi.

Mambo ya kugombea urithi yako uswahilin matola huko, watu smart huwa wamesha forecast kila kitu mkuu.
 
Huyo dogo ni mnafiki kuliko Uuda Eskarioti. Maana hata hadithi zinasema Yuda alikimbia baada ya kuona Yesu aliyemuuza kafariki.
Makonda hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi ni mnafiki, mchonganishi, anapenda..kukipendekeza...muongo, mchoyo..na mzandiki!
 
Huyo dogo ni mnafiki kuliko Uuda Eskarioti. Maana hata hadithi zinasema Yuda alikimbia baada ya kuona Yesu aliyemuuza kafariki.
Kwanza sio dogo,MTU mzima,sema labda wewe Mzee yeye kijana,pili wewe pia mwizi Tuuu kwani amekosea wapi kusema Fulani amekosea Hapa?,wacha unafiki wako shenzi we
 
Duuuuuu, ninge ninge ningekuwa mimi kiukweli nisingeenda aiseee
 
Back
Top Bottom