Makonda angetangaza mtu wa CCM ameambukizwa corona, vijana wa ufipa wangesheherekea mwaka mzima

Yaani wewe una siasa za kitoto sana
Unawaona chadema ni mazuzu sana au
 
Wao huombea majanga yawafike Ccm tu

Haya Mungu anawapiga usoni Sasa, Malaika wenu wa chadema kauguliwa mmebaki mmeduwaa mmeona makonda Ndio pa kujificha

Sipati picha mtoto wa Magufuli Ndio angeugua wangesema kila aina ya Matusi kumtukana Rais

Ila wanaemwona ni Mungu wao huko chadema wamefikwa na janga

Chadema ni watu wasiojielewa wanataka nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Swala hapa si kutangaza kuwa mtoto wa mbowe ni mgonjwa, tunachojadili ni namna gani alitangaza, lugha aliyitumia, kejeli alizotumia na jinsi anavyomshukuru Mungu Kwa familia ya Mbowe kupatwa na mgonjwa.

Mnajua huu ugonjwa upo na hakuna aliye salama. "No one is immune to the situation".
Kwa kiongozi wa wananachi wote wa Dar salam, hakutegemewa kuyatoa hayo Kwa mwananchi wake. Na especially Kwa kiongozi wa kitaifa wa chama shindani.

Tuwe makini na tujitahidi kutumie hekima kipindi hiki cha ugonjwa huu. Hili ni janga la kimataifa hatupaswi kuleta kejeli zisizo na msingi.

Nakumbuka wakati wameongezeka wagonjwa wa corona kutoka 4 hadi 6, waziri wa wizara husika alitangaza kuwa wameongezeka wagonjwa wa wili ambao ni watanzania na kufanya idadi kuwa 6, ambao mmoja alitoka south africa na mwingine bala la ulaya. Lakini hakutaja majina yao hao wagonjwa na siyo kwamba hakuwafahamu majina yao hadi walipokuja kujitangaza wao kwa njia ya amaitandao ya kijamii..(AF pamoja na jamaa yake MONDI)... Hivyo tunaposema kuwa utoaji wa taarifa unamapungufu tuko sahihi.
 
Hivi unafikiri kila anayekosoa ni chadema? Akili kijiko kweli. Hujui Kuna hata wanaccm wanalilia sana tu ila wanaogopa kujionyesha?

Back
Top Bottom