Makonda angetangaza mtu wa CCM ameambukizwa corona, vijana wa ufipa wangesheherekea mwaka mzima

Wao huombea majanga yawafike CCM tu.

Haya Mungu anawapiga usoni Sasa, Malaika wenu wa CHADEMA kauguliwa mmebaki mmeduwaa mmeona Makonda ndio pa kujificha.

Sipati picha mtoto wa Magufuli Ndio angeugua wangesema kila aina ya Matusi kumtukana Rais.

Ila wanaemwona ni Mungu wao huko chadema wamefikwa na janga.

CHADEMA ni watu wasiojielewa wanataka nini.

Kuna makundi ya vijana yalikuwa yanaomba corona ije Tanzania tena iwadhuru Viongozi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwana-Chadema Technically aliomba corona ije iangamize Tanzania.
 
Mungu wenu wa chadema kauguliwa mmebaki mmeduwaa
Hasira zenu zinaishia kwa makonda

Siku zote mnaombea wana Ccm wapate matatizo ila Mungu alivyo wa ajabu maombi yanawarudia wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Masikini hata hujui tatizo ni nini na liko wapi...

Nakuambia hivi kwa sababu shida hii haina uhusiano wowote na siasa zenu za kijinga na kipumbavu....

Maana wewe ulivyo msikini wa akili na maarifa hata hujui kuwa Mwana-FA ambaye amejitangaza mwenyewe ni CORONA positive ni mwana - CCM kindakindaki....!!

Kuna watu wanamjadili mwana FA kwa mitazamo ya siasa ujinga na uchwara zenu za huko Lumumba??

Na vipi hao wengine wengi wanaougua maradhi haya?

Au umemsikia PM ama Waziri Ummy Mwalimu akiwa categorize hao waathirika kwa vigezo vya siasa za vyama??

Huko CCM mnakuwa mnafikiri kwa kutumia viungo gani mnapoamua kumwaga ujinga wenu hadharani??
 
Si bora angeomba ccm itoke madarakani ila kaombea wenzie shari matokeo yake hiyo shari inatukumba wote.
 
Ikumbukwe kabla ya ugonjwa wa Corona haujafika Tanzania, Bavicha na chadema kwa ujumla walikuwa wakikesha mitandaoni wakiombea Corona ije ili wamkomoe na kumcheka rais Magufuli!.

Mwana jamii forum anayeitwa technically alileta Uzi humu akiombea na kushangaa kwa nini Corona haifiki haraka Tanzania!, Naam kama ilivyoandikwa aombacho mtu ndiyo hupewa, kama alivyoomba technically Corona imekuja Tanzania na hatua ya kwanza imeshambulia familia ya boss wake Freeman Mbowe!, nadhani sasa technically atakuwa anarukaruka kwa furaha sana huko aliko

Tuwaonye tu vijana wa chadema kuwa Mungu hana mchezo, mahaba yenu kwa Mbowe yasiwatoe ufahamu na kuanza kuiombea mabaya nchi mkidhani mnamkomoa rais Magufuli.
Sasa hivi mnamkejeli Makonda kwa kusema ni tasa mnasahau kuwa HalimaMdee ana miaka 45 na hana mtoto wala kutundikwa mimba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuwezi kukulaumu
1572191509422.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu wenu wa chadema kauguliwa mmebaki mmeduwaa
Hasira zenu zinaishia kwa makonda

Siku zote mnaombea wana Ccm wapate matatizo ila Mungu alivyo wa ajabu maombi yanawarudia wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siyo mfuasi wa Chama chochote ni mfuasi wa wa Haki. Hairuhusiwi asiye Doctor kutangaza habari ya Mgonjwa Hadharani na bila ridhaa yake. Ugonjwa ni Siri ya Daktari na Mgonjwa. Kwani Dudley alitoroka Hospital na kuingia mtaani kusambaza? Haijafurahisha watu Mgonjwa asiyejiweza kutangazwa stendi ya mabasi. Waliotangaziwa hawakuwa wanaohitaji hii taarifa.
 
Mbona Makonda ni tasa na alienda ku adapt mtoto ila hujawahi kusikia mwanachadema yoyote akimkebehi.

Usiwe na haraka bado korona ipo.
N hakuna anayeipangia. Wewe sali na ombea familia yako mengine muachie Mungu na usimcheke mwenzako
Ndugu ulijuaje kama ni tasa?
 
Wao huombea majanga yawafike CCM tu.

Haya Mungu anawapiga usoni Sasa, Malaika wenu wa CHADEMA kauguliwa mmebaki mmeduwaa mmeona Makonda ndio pa kujificha.

Sipati picha mtoto wa Magufuli Ndio angeugua wangesema kila aina ya Matusi kumtukana Rais.

Ila wanaemwona ni Mungu wao huko chadema wamefikwa na janga.

CHADEMA ni watu wasiojielewa wanataka nini.

Kuna makundi ya vijana yalikuwa yanaomba corona ije Tanzania tena iwadhuru Viongozi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Alipotamka tu vita dhidi ya ushoga, shisha na wauza dawa za kulevya watu wakainuka kupambana na Makonda
 
''A Tanzanian official has caused controversy after he revealed that an opposition politician has a coronavirus patient in his family. Regional commissioner Paul Makonda was addressing a gathering at the main bus stand in the commercial capital Dar es Salaam about the dangers of public gatherings in spreading the virus.

He alleged that opposition politician Freeman Mbowe had called off planned political rallies because he was housing a coronavirus patient. “If Freeman Mbowe didn’t have a coronavirus patient, he would have plunged this nation into a big crisis. The government says there shouldn’t be gatherings, while he says ‘we are gathering’.” Following Mr Makonda’s revelation, Mr Mbowe confirmed his son has the virus.

“Regardless of the ethics and misinformation within that statement, it is true that my son has tested positive with the virus.” On Tuesday, the country's main opposition party, Chadema, announced it would be cancelling rallies in light of the coronavirus outbreak. So far, Tanzania has confirmed 12 cases of coronavirus, including eight Tanzanians''

Makonda mkorofi aisee.
 
Wao huombea majanga yawafike CCM tu.

Haya Mungu anawapiga usoni Sasa, Malaika wenu wa CHADEMA kauguliwa mmebaki mmeduwaa mmeona Makonda ndio pa kujificha.

Sipati picha mtoto wa Magufuli Ndio angeugua wangesema kila aina ya Matusi kumtukana Rais.

Ila wanaemwona ni Mungu wao huko chadema wamefikwa na janga.

CHADEMA ni watu wasiojielewa wanataka nini.

Kuna makundi ya vijana yalikuwa yanaomba corona ije Tanzania tena iwadhuru Viongozi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kitu siasa??kuna watu hata chama hawana..tanguliza utu kwanza
 
Kiongozi bora asiye na unafiki hajaijibu hoja ya Pompeo mpaka leo.
hapa naona kama marais wote hawakupoteza muda

jk - kilimo uti wa mgongo (wakasahau bar, kilabu, ugonjwa, nyumba nao ulikuwa uti wa mgongo kwa wengine)

mwinyi (ruksa fanya utakavyo ili tujue uti wa mgongo wako)

mkapa (kuplant those inspiration)

jakaya (kilimo kwanza full kununua matrector labda saizi yatakuwa kama VX full services kila week)

magufuli (hapa kazi tu labda watategeneza kazi)

ajaye baibai kwa sabau ya steel mnaharibu


Fursa 2020 - JamiiForums
 
Bloody fool!
Corona hana mipaka,
Kauli zako zimejaa upigadebe badala ya kuiokoa jamii. Ongelea Tanzania, habari za corona zinakuja vipi kwenye ccm?
Shut up your toothless mouth and cover it up by sterile mask.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom