Makonda angetangaza mtu wa CCM ameambukizwa corona, vijana wa ufipa wangesheherekea mwaka mzima

Mimi nauliza swali moja hapo. Kwa nini vijana wengi (kama ulivyosema) wanawaombea viongozi waumwe,wafikwe na majanga?. Inakuweje tofauti na mataifa mengine kama Botswana, USA,UK n.k, huko vijana wanawaombea kwa dhati viongozi wao, wako tayari hata kuwapigania?. Kuna tatizo gani kubwa lipo kati ya wananchi na viongozi?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliokuwa wakiombea Corona ije pamoja na Bashite wote ni walewale, ni vijana wasiotumia akili na elimu zao kujua zuri ni lipi na Baya lipi

Ni mjinga tu anayefurahia dhiki ya mtu mwingine na kumwombea mabaya mtu
 
Mbona Makonda ni tasa na alienda ku adapt mtoto ila hujawahi kusikia mwanachadema yoyote akimkebehi.

Usiwe na haraka bado korona ipo.
N hakuna anayeipangia. Wewe sali na ombea familia yako mengine muachie Mungu na usimcheke mwenzako

Matusi mangapi vijana wa chadema mlimtukana makonda kuwa mtoto ni wa kichina, na juzi tu mlisema alitaka kwenda USA kazuiwa, sasa mtoto mwingine angetowa wapi, kumbe vichwa vyenu ni vya nyumbu hata mlichosema jana leo hamkikumbuki. Rudia nyuzi zenu huko nyuma kama hamjamtukana makonda?
 
Matusi mangapi vijana wa chadema mlimtukana makonda kuwa mtoto ni wa kichina, na juzi tu mlisema alitaka kwenda USA kazuiwa, sasa mtoto mwingine angetowa wapi, kumbe vichwa vyenu ni vya nyumbu hata mlichosema jana leo hamkikumbuki. Rudia nyuzi zenu huko nyuma kama hamjamtukana makonda?
Kiongozi wa chadema?
Embu lete hio link hapa tuione

Kama unaongelea watu wa kwnye social media hio haipo.

Mimi leo naweza kumtukana Mbowe, kesho Makonda, kesho kutwa Magufuli. Etc.
Jaribu kuelewa tunachokiongelea.
 
Siku ikikiupata wewe nitasherehekea
Wao huombea majanga yawafike CCM tu.

Haya Mungu anawapiga usoni Sasa, Malaika wenu wa CHADEMA kauguliwa mmebaki mmeduwaa mmeona makonda ndio pa kujificha.

Sipati picha mtoto wa Magufuli Ndio angeugua wangesema kila aina ya Matusi kumtukana Rais.

Ila wanaemwona ni Mungu wao huko chadema wamefikwa na janga.

CHADEMA ni watu wasiojielewa wanataka nini.

Kuna makundi ya vijana yalikuwa yanaomba corona ije Tanzania tena iwadhuru Viongozi t.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Mbona Makonda ni tasa na alienda ku adapt mtoto ila hujawahi kusikia mwanachadema yoyote akimkebehi.

Usiwe na haraka bado korona ipo.
N hakuna anayeipangia. Wewe sali na ombea familia yako mengine muachie Mungu na usimcheke mwenzako
Maneno yenye busara sana, ubarikiwe asubuhi hii ya leo

In God we Trust
 
Siku hizi hata magonjwa mnafanyia siasa? Tena ugonjwa wenye corona huwezi jua hata uliingiaje. Kuna kitu hakiko sawa vichwan mwenu wewe mtoa mada plus bashite


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao vijana ni matokeo ya kambi za green guard zilizokuwa zinasimamiwa na Chakubanga hivyo wamesha haribika
Ni hivi Watanzania wengi sana wana magonjwa mbadala ambayo corona ikijimiksi utaona wadau watavyopukutika!

Wazee, wenye visukari, presha, pumu, kansa na mengineo hao wote haiwaachii salama! Ikupita nao inawalaza mazima!

Sasa tukianza kushabikia kivyama, nadhani kambi yenu inaongoza kwenda India kutibiwa na sasa muende kutibiwa corona!

Mengine kwa sasa mjifunze kunyamaza, hili janga letu sote Watanzania! Ushasikia hata Zimbabwe wameingiza uchama kwenye hili?

In God we Trust
 
Yeye ni Mkuu wa mkoa mgonjwa ametokea mkoani kwake kuna ubaya gani kutangaza?
Soma hii, aliitamka juzi tarehe 21/03/2020
Makonda: Atakaye jifanya mjuaji kwenye corona ‘itamkosti’ | Mtanzania

1585119413317.png
 
Kwa hiyo Mkuu unataka kusema kwamba, wagonjwa wote 12 aliyowatangaza Rais, ni wa Ufipa! Kama akili uliisahau kwenye tumbo la Mzazi wako, muombe akufungulie mlango ukaichukue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom