Makonda anatoa wapi haya ma milioni?

Makonda anatoa wapi haya ma milioni?

naomba kuuliza, kwan huyu home shopping center ambae sa hv kabadili jina anajiita discounting center ndo huyo huyo mwene GSM group of companies??
 
Ukweli makonda amevuta ndefu sana kutoka kampuni ya sigara kupiga marufuku shisha.
Hakukuwa na sababu zozote za kiufundi kupiga marufuku shisha. Zote ni sigara. Ila sigara walihisi soko linaweza kupungua kutokana na wavutaji wengi kuanza kubadilisha uvutaji wa vipisi hadi shisha. Hivyo walamkabili makonda kama anaiweza hio tenda.
Utagundua hio issue ni kubwa mpaka siro ili mshinda kwani mkwanja sio mdogo.
 
Hata Mimi nilikua najiuliza swali kama hilo, kipindi kile lowasa anahudhuria kwenye harambee misikitini na makanisani!
 
Ofisi yake inazidi ile ya mweshimiwa sana kwa uzuri wa vifaa vya ofisi na mapambo! GSM big sponsors.
 
Vp bwana magu si atamtoa nduki akisikia anausoda na Gsm
 
Back
Top Bottom