Makonda anatoa wapi haya ma milioni?

Makonda anatoa wapi haya ma milioni?

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,013
Majuzi alikuwa Mwanza Bwiru kaahidi kuchangia 80 milioni kujenga beach ya kanisa la AIC (Inasemekana anataka ubunge wa Nyamagana 2020). Kuna ile bilioni 5 ya jengo la BAKWATA, Kuna bajaj na nyumba kwa yule jamaa aliyetobolewa macho na scorpion, kuna gari kwa ajili ya mwenyekiti wa mtaa msafi

Kuna hii inayokuja ya shilingi milioni 50 kwa pambano la muziki wa live kati ya Christian bela na Banana kusheherekea jinsi alivyotatua matatizo ya wananchi wa Dar es salaam mubashara kupitia Clouds tv.

Inaonekana kwake hela sio tatizo, ni kwamba kuna wafadhili wanaokubali uchapaji kazi wake au kuna fungu la mkuu wa mkoa lipo tu tayari tayari???
 
Kuna kundi kubwa LA wafanya biashara wako nyuma yake ndio wanayofanikisha kazi zake nyingi ila hilo pambano kati ya Bella na banana Bella hizo milioni 50 zake pasipo ubishi
 
Gsm ndio mabwana zake analula nao
i swear kuna kashfa inakuja inamuhusu makondakta ila atachomoka kama lugumi
 
Huwa anawafuata matajiri kuwachangisha, mfano kujenga ofisi ya bakwata aliwafuata Akina dewji Manji, nk
 
Back
Top Bottom