Kaguswa basha wako kigololi kimekushukaHata mimi sijamuelewa analengo tuelewe nini juu ya andiko lake. Maana sijamuelewa vizuri.
Nilipoanza kusoma nilidhani ninasoma uzi wa mtu mwenye akili timamu kumbe ushuzi mtupu..... barabara ikiwa mbovu wagonjwa wanaweza kuwahishwa hospitalini?Sass nimsifie mtu amejenga barabara,kwani mimi ninayo gari mpaka nimsifie mtu aliyejenga barabara?