Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,987
- 26,095
- Thread starter
- #21
Mwanasiasa hajui mambo ya Mungu, wao wanasema "wataombewa-kufanyiwa misa na watakwenda mbinguniHuyu mtu kama alihusika kweli na matendo ya kuwapoteza na kuwajeruhi hawa watu, Mungu atamlipa tu maana inasikitisha sana