Makonda amwandikia ujumbe Zari wa Diamond

RC Makonda ameandika kwenye Instagram yake akimwambia Zari kuwa ana uwezo mkubwa wa kupita kwenye dhoruba na akaendelea kubaki imara na kuendelea kupata heshima kutoka kwa familia yake.

RC Makonda kaandika ”Thamani yako kwangu bado ni kubwa sana, kwani uwezo wako wa kupita kwenye dhoruba na ukabaki imara na familia yako unaendelea kukupa heshima.”

View attachment 591670
Pole ya nini kwani huyo zari na diamond ni mke na mume ?wte hao si mahawara wake tu kila mwenye kuwashwa washwa waende tu kwa diamond dume la kupandishia kwa sababu kama zari anataka kutulia na diamond kwa nini wasioane tukajua kwamba ni mke na mume na kila mtu ataheshimu ndoa yao lakini hapo mabeto kaingia kwa sababu anajua hakuna ndoa.
 
Makonda yupo sahihi diamond sio mtu mdogo hapa nchini ni mmoja kati ya vijana wenye ushawishi mkubwa pia ni rahisi kupata hata uongozi kutokana na influenc aliyokuwa nayo.
Uongozi? AKASOME KWANZA..azibe na tundu la pua,atoe na kiduku
 
Nilihisi toka mwanzo kuwa huu unaweza kuwa ni mpango wa kuzima ile koloboi
 
Back
Top Bottom