Makonda ameipigia Saluti maiti ya Hayati Magufuli bila sare kama nani?

SALUTI
(a) Je, ni nini maana ya kitendo cha kupiga saluti kinachofanywa na askari?
(b) Je, ni askari wa ngazi gani hupigiwa saluti?
(c) Je, ni maafisa/viongozi wa ngazi gani uraiani katika mihimili ya Serikali, Mahakama na Bunge ambao wanastahili kupigiwa saluti?

MAJIBU
(a) Saluti ni salamu ya kijeshi ambayo hutolewa na askari kwa mujibu wa sheria na kanuni za Kudumu za Utendaji wa Jeshi la Polisi (Police General Orders No. 102).

(b) Askari wote kuanzia cheo cha mkaguzi msaidizi na kuendelea hustahili kupigiwa saluti.

(c) PGO namba 200 imeainisha taratibu za saluti kwa viongozi wa Serikali na taasisi zingine kama ifuatavyo:
Askari wa vyeo vyote wanatakiwa kupiga saluti kwa Mheshimiwa Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa Kwanza na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania naJaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mawaziri wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wanapokuwa katika maeneo ya Bunge au Majimboni mwao. (Makofi)

Viongozi wengine wanaostahili kupigiwa saluti ni pamoja na Wakuu wa Mikoa na Majaji wanapokuwa katika maeneo yao ya kazi. Aidha, kuanzia askari mwenye cheo cha Konstebo hadi Mkaguzi wanapaswa kuwapigia saluti Wakuu wa Wilaya na Waheshimiwa Mahakimu wote wanapokuwa katika maeneo yao ya kazi. Askari akiwa ndani ya sare anaruhusiwa kuipigia saluti maiti ya kiraia, kijeshi, hata ya mtoto mchanga. KUHUSU KUIPIGIA SALUTI MAITI ni kwamba; Askari wa aina yeyote akiwa ndani ya sare anaruhusiwa kuipigia saluti maiti ya kiraia, kijeshi, hata ya mtoto mchanga ila HARUHUSIWI Askari asiyekuwa ndani ya sare wala Raia wa kawaida kufanya hivyo.
Mramba umeshajikatia tamaa,enzi za kuteuliwa kwa kigezo cha kuitukana Chadema na Mbowe zimepita,jikite tu kwenye ile biashara yako ya bar bubu.
 
Hii ni salute au ishara ya Makonda aliyoamua kuitumia kumuaga JPM? Je wewe unajua majeshi yote ya nchi hii?
 
Mramba hujui chochote kuhusu Saluti za kijeshi ama kiraia.

Nikusihi tu kaa chini jifunze upya hata wewe utaanza kuzitumia ikikupendeza.

Pole sana kwa maumivu ya moyo
asiyejua kashusha nondo Kwa uelewa wake wewe unaejua umeishia kubeza na kujikweza.
 
SALUTI
(a) Je, ni nini maana ya kitendo cha kupiga saluti kinachofanywa na askari?
(b) Je, ni askari wa ngazi gani hupigiwa saluti?
(c) Je, ni maafisa/viongozi wa ngazi gani uraiani katika mihimili ya Serikali, Mahakama na Bunge ambao wanastahili kupigiwa saluti?

MAJIBU
(a) Saluti ni salamu ya kijeshi ambayo hutolewa na askari kwa mujibu wa sheria na kanuni za Kudumu za Utendaji wa Jeshi la Polisi (Police General Orders No. 102).

(b) Askari wote kuanzia cheo cha mkaguzi msaidizi na kuendelea hustahili kupigiwa saluti.

(c) PGO namba 200 imeainisha taratibu za saluti kwa viongozi wa Serikali na taasisi zingine kama ifuatavyo:
Askari wa vyeo vyote wanatakiwa kupiga saluti kwa Mheshimiwa Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa Kwanza na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania naJaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mawaziri wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wanapokuwa katika maeneo ya Bunge au Majimboni mwao. (Makofi)

Viongozi wengine wanaostahili kupigiwa saluti ni pamoja na Wakuu wa Mikoa na Majaji wanapokuwa katika maeneo yao ya kazi. Aidha, kuanzia askari mwenye cheo cha Konstebo hadi Mkaguzi wanapaswa kuwapigia saluti Wakuu wa Wilaya na Waheshimiwa Mahakimu wote wanapokuwa katika maeneo yao ya kazi. Askari akiwa ndani ya sare anaruhusiwa kuipigia saluti maiti ya kiraia, kijeshi, hata ya mtoto mchanga. KUHUSU KUIPIGIA SALUTI MAITI ni kwamba; Askari wa aina yeyote akiwa ndani ya sare anaruhusiwa kuipigia saluti maiti ya kiraia, kijeshi, hata ya mtoto mchanga ila HARUHUSIWI Askari asiyekuwa ndani ya sare wala Raia wa kawaida kufanya hivyo.
mwana kazingua yeye alipaswa kuinama tu japo sijui vyeo vyake vingine sirini lakini kwa kua tunajua sasa hivi yeye ni common soldier wa kitaa hadi apate uteuzi angetoa heshima ya kawaida tu.
 
Wewe mzee una shida sana uzee wako sasa umekuwa wakifala fala tu.

Sasa ukitaka kujua kama nilichokiandika ni cha kindezi, kikubi, au kikima endelea kuwashwa
Sio kosa lako, ni kosa la malezi...

Nimekuelwa lakini
 
..jeshini wana sheria ya raia gani wapigiwe saluti.

..pia kuna sheria ya kupigia saluti marehemu.

..kwa hiyo utarudi kulekule kwamba ni makosa kupiga saluti bila kuwa umevaa uniform, na kofia ya jeshi.

NB:

..ukiangalia picha ya Makonda saluti aliyopiga siyo saluti sahihi [ angalia vidole na kiganja chake ]ya vikosi vya ulinzi na usalama vya Tz. Labda tunaweza kusema ni salamu ya kisela.
Mkuu wewe umemalizaa kila kitu hapo kwenye NB.
 
Nashangaa mpaka leo kuna Watu hamjajua au hamtaki Kuamini kuwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ni 100% TISS Agent na aliingia huko kwa Mgongo ( Msaada ) wa Walezi wake Wakubwa Hayati Mzee Samuel Sitta na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kwa Uratibu mzuri wa Mwanae Ridhiwani anbaye Kipindi cha Uongozi wa Baba yake amefanikisha Vijana wengi tu ( Marafiki na Jamaa ) kuingia Idarani humo.

Tunaposema kuwa TISS ilianza Kuharibika na Kupotoka katika Misingi yake Mikuu Kipindi cha Utawala ( Uongozi ) wa Rais Mstaafu Kikwete muwe mnatuelewa tafadhali. Mpaka anapiga hivyo Salute inamaanisha anakijua vyema Kiapo chake na Wajibu wake kwa Kiongozi Mkuu wa nchi.
Hakuna tatizo. Salute ya tiss sio hio lkn
 
SALUTI
(a) Je, ni nini maana ya kitendo cha kupiga saluti kinachofanywa na askari?
(b) Je, ni askari wa ngazi gani hupigiwa saluti?
(c) Je, ni maafisa/viongozi wa ngazi gani uraiani katika mihimili ya Serikali, Mahakama na Bunge ambao wanastahili kupigiwa saluti?

MAJIBU
(a) Saluti ni salamu ya kijeshi ambayo hutolewa na askari kwa mujibu wa sheria na kanuni za Kudumu za Utendaji wa Jeshi la Polisi (Police General Orders No. 102).

(b) Askari wote kuanzia cheo cha mkaguzi msaidizi na kuendelea hustahili kupigiwa saluti.

(c) PGO namba 200 imeainisha taratibu za saluti kwa viongozi wa Serikali na taasisi zingine kama ifuatavyo:
Askari wa vyeo vyote wanatakiwa kupiga saluti kwa Mheshimiwa Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa Kwanza na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania naJaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mawaziri wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wanapokuwa katika maeneo ya Bunge au Majimboni mwao. (Makofi)

Viongozi wengine wanaostahili kupigiwa saluti ni pamoja na Wakuu wa Mikoa na Majaji wanapokuwa katika maeneo yao ya kazi. Aidha, kuanzia askari mwenye cheo cha Konstebo hadi Mkaguzi wanapaswa kuwapigia saluti Wakuu wa Wilaya na Waheshimiwa Mahakimu wote wanapokuwa katika maeneo yao ya kazi. Askari akiwa ndani ya sare anaruhusiwa kuipigia saluti maiti ya kiraia, kijeshi, hata ya mtoto mchanga. KUHUSU KUIPIGIA SALUTI MAITI ni kwamba; Askari wa aina yeyote akiwa ndani ya sare anaruhusiwa kuipigia saluti maiti ya kiraia, kijeshi, hata ya mtoto mchanga ila HARUHUSIWI Askari asiyekuwa ndani ya sare wala Raia wa kawaida kufanya hivyo.
Sasa ni wakati wenu nyinyi wahamiaji haramu kutupiwa virago vyenu maana aliyekuwa anawadekeza tayari ametangulia mbele ya haki.

Huyu wa sasa haitaji wapiga majungu kama nyinyi.

Mjiandae kurudi makwenu mkashike jembe maana hakuna chama kitakubali kwapokea manyani kama nyinyi.
 
SALUTI
(a) Je, ni nini maana ya kitendo cha kupiga saluti kinachofanywa na askari?
(b) Je, ni askari wa ngazi gani hupigiwa saluti?
(c) Je, ni maafisa/viongozi wa ngazi gani uraiani katika mihimili ya Serikali, Mahakama na Bunge ambao wanastahili kupigiwa saluti?

MAJIBU
(a) Saluti ni salamu ya kijeshi ambayo hutolewa na askari kwa mujibu wa sheria na kanuni za Kudumu za Utendaji wa Jeshi la Polisi (Police General Orders No. 102).

(b) Askari wote kuanzia cheo cha mkaguzi msaidizi na kuendelea hustahili kupigiwa saluti.

(c) PGO namba 200 imeainisha taratibu za saluti kwa viongozi wa Serikali na taasisi zingine kama ifuatavyo:
Askari wa vyeo vyote wanatakiwa kupiga saluti kwa Mheshimiwa Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa Kwanza na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania naJaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mawaziri wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wanapokuwa katika maeneo ya Bunge au Majimboni mwao. (Makofi)

Viongozi wengine wanaostahili kupigiwa saluti ni pamoja na Wakuu wa Mikoa na Majaji wanapokuwa katika maeneo yao ya kazi. Aidha, kuanzia askari mwenye cheo cha Konstebo hadi Mkaguzi wanapaswa kuwapigia saluti Wakuu wa Wilaya na Waheshimiwa Mahakimu wote wanapokuwa katika maeneo yao ya kazi. Askari akiwa ndani ya sare anaruhusiwa kuipigia saluti maiti ya kiraia, kijeshi, hata ya mtoto mchanga. KUHUSU KUIPIGIA SALUTI MAITI ni kwamba; Askari wa aina yeyote akiwa ndani ya sare anaruhusiwa kuipigia saluti maiti ya kiraia, kijeshi, hata ya mtoto mchanga ila HARUHUSIWI Askari asiyekuwa ndani ya sare wala Raia wa kawaida kufanya hivyo.
Hii ni kwa mujibu wa sheria za polisi. Kwa vyombo vingine je?
 
Back
Top Bottom