Makonda alishafutwa kwenye siasa na Askofu Gwajima

Dunamist

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
474
682
Salaam wakuu

Ni takribani mwaka sasa umepita tangu Askofu mkuu wa makanisa ya Ufufuo na uzima Dr. Josephat Gwajima alipotangaza kumfuta kwenye ulingo wa kisiasa kwa sababu ya kumdhalilisha yeye kama mtumishi wa Mungu kwa kumhusisha na kashfa ya madawa ya kulevya. Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, tangu tamko lile lililotoka madhabahuni, mkuu huyu wa mkoa wa Dar hajafanya movement yoyote kubwa ya maana zaidi ya viskendo vya hapa na pale.. Hiki kinachotokea kwake ni mwendelezo tu wa utekelezaji wa tamko lile la mtumishi wa MUNGU..
 
Nimemuona hiyo clip aisee, sasa Huyu jamaa anavyokataa kwamba yeye sio Bashite kwanini asimshtaki gwajima Kwa kumuita hivyo tena live mazabahuni clip yake ngoja niirushe nimeiona hukuhuku jf.
Kweli kumbe lijamaa lilifoji cheti kwani lilipata zero form four ndio maana limepata chansi limeamuwa kuwa jizi la kujirundikia Mali Kwa kuwa halikutegemea .
Huyu jamaa inabidi ashtakiwe kabisa na
aliyezima kesi ya meya Jacob kwenye Baraza la maadili ya viongozi wa umma kamwe asitamke tena kwamba hii nchi inafuata utawala wa sheria kwani amemlinda huyu jamaa sheria ya maadili ya viongozi wa umma isimguse wakati ni mchafu.
Na hayo maviwanja yake aliyojilimbikizia hukoDodoma hata hayapo kwenye taarifa ya Mali zake alizowasilisha mwaka Jana
 
Nimemuona hiyo clip aisee, sasa Huyu jamaa anavyokataa kwamba yeye sio Bashite kwanini asimshtaki gwajima Kwa kumuita hivyo tena live mazabahuni clip yake ngoja niirushe nimeiona hukuhuku jf.
Kweli kumbe lijamaa lilifoji cheti kwani lilipata zero form four ndio maana limepata chansi limeamuwa kuwa jizi la kujirundikia Mali Kwa kuwa halikutegemea .
Huyu jamaa inabidi ashtakiwe kabisa na
aliyezima kesi ya meya Jacob kwenye Baraza la maadili ya viongozi wa umma kamwe asitamke tena kwamba hii nchi inafuata utawala wa sheria kwani amemlinda huyu jamaa sheria ya maadili ya viongozi wa umma isimguse wakati no mchafu.

Na kwa nini Gwajima asimshtaki Makonda kwa kumhusisha na madawa ya kulevya!
 
Dhambi alizofanya hapa Duniani huyu Bashite zitaendelea kumtesa kwa kila hali..

Kuanzia kuvamia Clouds, kubambikizia watu kesi za madawa ya kulevya, kuteka na kuwatesa akina Roma Mkatoliki, kutekwa na kuuwawa kwa Ben Saanane, kupigwa risasi kwa TL, na mengine mengi..

Huyu amekwisha LAANIWA.

Yupo pale kimwili lakini atakuwa mtu wa kuharibu tu..

Laana ya Gwajima inafanya kazi.
 
Toka anyang'anywe msafara kama wa rais na kikosi chake cha wasiojulikana kusambaratishwa bashite ni toilet paper.
 
Dhambi alizofanya hapa Duniani huyu Bashite zitaendelea kumtesa kwa kila hali..

Kuanzia kuvamia Clouds, kubambikizia watu kesi za madawa ya kulevya, kuteka na kuwatesa akina Roma Mkatoliki, kutekwa na kuuwawa kwa Ben Saanane, kupigwa risasi kwa TL, na mengine mengi..

Huyu amekwisha LAANIWA.

Yupo pale kimwili lakini atakuwa mtu wa kaiharibu tu..

Laana ya Gwajima inafanya kazi.
Mbona yote hayo yalibarikiwa
 
Nimemuona hiyo clip aisee, sasa Huyu jamaa anavyokataa kwamba yeye sio Bashite kwanini asimshtaki gwajima Kwa kumuita hivyo tena live mazabahuni clip yake ngoja niirushe nimeiona hukuhuku jf.
Kweli kumbe lijamaa lilifoji cheti kwani lilipata zero form four ndio maana limepata chansi limeamuwa kuwa jizi la kujirundikia Mali Kwa kuwa halikutegemea .
Huyu jamaa inabidi ashtakiwe kabisa na
aliyezima kesi ya meya Jacob kwenye Baraza la maadili ya viongozi wa umma kamwe asitamke tena kwamba hii nchi inafuata utawala wa sheria kwani amemlinda huyu jamaa sheria ya maadili ya viongozi wa umma isimguse wakati no mchafu.
Na hayo maviwanja yake aliyojilimbikizia hukoDodoma hata hayapo kwenye taarifa ya Mali zake alizowasilisha mwaka Jana
Daah, mkuu kumbe ana makando kando kibao huyu jamaa?
 
Back
Top Bottom