johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,082
- 164,403
Ni katika kikao cha RCC na ametaka hatua za haraka zichukuliwe kuepusha mapungufu yaliyosababisha anguko hilo.
Makonda amesema shule za Dar kufanya vibaya kwenye matokeo ya kidato cha nne alikijua mapema na kilisababishwa na baadhi ya maofisa waliomaliza muda wao
''Niliwahi kumuuliza ofisa elimu mmoja kuhusu changamoto za walimu wake akasema hafahamu mpaka mwenyewe akamuulize kwanza mwenyekiti wa chama cha walimu, nilishangaa sana''
Alifafanua ndio maana alikataa kuonana na Ofisa elimu mpya wa Mkoa kwa sababu hakutaka kusalimiwa bali alikuwa anataka mikakati.
Chanzo: Mwananchi
Mdau nini kifanyike kuboresha ufaulu wa mkoa wetu wa Mzizima?