Makonda aendelea kupaa. Alamba Uteuzi Mzito Ndani Ya CCM

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,348
Reaction score
23,757
Ndugu zangu Watanzania,

Huyu Mwamba Ni Balaa Kwelikweli. Hakamatiki Wala Hashikiki. Mungu Wake nI mkubwa sana na anatembea naye muda wote

Kuna jambo kubwa sana limepangwa na Mungu Wake Kwa Taifa letu ambalo litatimia. Mengi nilishaeleza Juu ya huyu Mwamba na namna gani ni hazina ya Taifa letu.

Nitakuja kuwaleteeeni NONDO kumhusu Huyu Mwamba

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
 
 
Kafanyaje huko?
 
YEye na Livingstone Joseph Lusinde wameteuliwa katika nafasi inayofanana.

Ukija,njoo na uchambuzi wa wote wawili (Makonda na Lusinde).

Nahisi wanaenda kutumika katika jukumu linalofanana.
 

Wakupe Ukuu wa Wilaya
 
Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Uchaguzi umeisha Isha....mbona kama hauamini kuwa yupo Madarakani!!! Naanza kukutilia Masha Nia yako. Wahusika mfuatilieni huyu Kuna kitu yawezekana anakijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…