Makwarukwaru
Member
- Mar 10, 2012
- 66
- 25
Utaumia bure ndugu yangu, mambo mengine waachie wenyewe....:tape2:Napata ukakasi sana hasa nikiwaza hichi kitu.Komandoo ni askari aliepitia mafunzo ya kijeshi na ya hali ya juu mno. Zamani ilikua ukisikia komamdoo mpaka damu inasisimka na wengi wao katika jeshi letu walikua wanapata mafunzo yao nje ya nchi kama Cuba,Misri na Israel.Je sasa hawa wanaotoka pale Morogoro wana sifa kama zile za wale? Au ndo wale waliotufanyia show ya kupasua tofali kwa kichwa pale uwanja wa taifa siku ya miaka 50 ya kupata bendera(kwani siamini kama bado tuko huru)?
Wanakutisha bure, wengi wao mbona tunawafundisha ktk vyuo vyetu....Nimesema hivyo wandugu kwasababu kuna mtu ameniambia kwa sasa nchi za jirani na sisi wako vizuri mno na wanajifua mno ki military sasa sijui nia yao ni nini...
Achan na makomandoo ,mi nimepitia madojo si rasmi tokea enzi za miaka 80 -kwa watu wa dar watawakumbuka akina kiringo , Santana , (MwambaZero Jimmy Castro- marehemu hawa )Abdala Master sikuwa na rank yeyote zaidi ya kuwa najua kutifua ugomvi wa haja, miaka ya mbele uzeeni kwangu nika kutana ni vijana na mikanda yao kamasi ziliwatoka nawengine wakijidai wamechukua mafunzo kutoka nje au walimu wa nje.
In short wale vijana pale morogoro usiwatanie ni wadudu kamili ktk mpango wa vurugu.
Ila kuna mzee moja nilimkuta mlale songea alikua kipofu sio totaly blind alikua anona kwa mbali sana nikaambiwa chanzo chake ni mafunzo ya ukomandoo kwamba zamani walikua na mafunzo ya kutia sugu mikono hasa kwenye tip of the finga kiasi walikua na uwezo wa kuchimba hata ukuta! Bila kujua walikua wanaua nerves ambazo zinz uhusiano na macho kabisa ndo maana akaishia kuwa hivyo,kama kuna mwenye jibu la uhakika katika hili pls...
napata ukakasi sana hasa nikiwaza hichi kitu.komandoo ni askari aliepitia mafunzo ya kijeshi na ya hali ya juu mno. Zamani ilikua ukisikia komamdoo mpaka damu inasisimka na wengi wao katika jeshi letu walikua wanapata mafunzo yao nje ya nchi kama cuba,misri na israel.je sasa hawa wanaotoka pale morogoro wana sifa kama zile za wale? Au ndo wale waliotufanyia show ya kupasua tofali kwa kichwa pale uwanja wa taifa siku ya miaka 50 ya kupata bendera(kwani siamini kama bado tuko huru)?
bila shaka utakua moja wao maana badala ya kunifafanulia with facts kama wenzako wewe unanitisha!!!kaka umesema kweli kabisa hawa jamaa ni wachovu sana nakushauri siku ukiwaona waambie live,
ila kabla ya hapo hakikisha umefanya yafuatayo
1. Umeandika urithi wako vizuri
2. Umevaa helmet
3. Kunywa dawa za maumivu mapema
4. lipa madeni yako(binafsi +mgao wako kwenye deni la taifa)
5. Nunua sanda na jeneza lako mwenyewe usituachie gharama ni vema ukienda huku umevaa sanda kabisa
6. Chimba kaburi lako mwenyewe
7. Acha taratibu za usafiri wa mwili wako vizuri
8. kodisha wa2 wakukulilia
9.ungama dhambi zako
10. Nk
siku nyingine bwana mdogo usichezee taaluma zinazotumia akili nyingi na nguvu nyingi.
Rip
Wana bodi.
Hawa makomandoo wa Tz si tuliwaona uwanja wa taifa jinsi wanavyopasua tofali kwa kichwa.
Yani wana mambo ya miaka ya 47, wakati wenzao wapo kwenye level za SEAL...