excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,463
- 17,960
Huyu mtt !!!!! Wallahi mungu shahidi, amenikamata pabaya, ninaiman nikimpata atanitesa sana
ushawahi kumuibukia PM?
Huyu mtt !!!!! Wallahi mungu shahidi, amenikamata pabaya, ninaiman nikimpata atanitesa sana
dogo usiogope !!Hukumbuki kuna Uzi aliuleta kuhusiana na pm na mitongozo? Kuona vile namuogopa hata kumuanza
dogo usiogope !!
ng'ombe mkorofi ndo mwenye maziwa wewe!
anza mdo mdo mtaelewana tu....!
Kama mimi nimeweza, wewe unashindwa nini?
Huyu bibie atasababisha watu wachomane na vitu vyenye ncha kali lol!Kwa miss neddy , wacha anichukue mateka ila kumuua hapana!!
Kumbe hadi wanawake nao wanapambana ISIS?
Nilidhani kwa mujibu wa dini yao mwanamke ni wa kukaa nyumbani na watoto tu