Mkuu kama upon vitani wafanyaje
unasubiri akuzalie kwanza mkuu! imagine huyu ndo miss neddy.. hivi utamuua kweli?
Mkuu nimecheka mpaka nikacheka tena, mungu wangu mungu wangu mbona nateseka? Siku ambayo nimelala na furaha bas leo ni yakwanza, wallah simuui na hifadhi nampa huyu mtt
Kwa miss neddy , wacha anichukue mateka ila kumuua hapana!!umeona sasa mapenzi yaivyo ya ajabu eenh? unaweza kufa badala yake wakati ni adui yako!
Kwa miss neddy , wacha anichukue mateka ila kumuua hapana!!
Hawa siyo Makomandoo wa ISIS bali ni Kondoo wa ISIS