Makomandoo wa Bongo


ulifika salama kwa sababu wewe ni komandoo.
 
Hivi Jack Bauer ni komando nae? lol

Jameni ee, twende mbele turudi nyuma you guys have no idea what Tanzanian commando's respect is and what they had to go through kuwa hivyo. Wacha kabisaaa. Uwezo ni sawa kabisaa
 
Sjajua ujuzi wako kimapigano but i advice u..., usijaribu kupigana na commando hata kama ni mzee kama mzee balati..., wale ni exceptional.., hv, unajua limit ya entry age ya commando? Na kwnn unafkiri wamefanya hvo??
Na ndio maana mkuu miezi miwili miwili ilopita komandoo (inasemekana mwalimu) alimtandika mtu mbagala huko na kumuua! Na waliokua wanashuhudia jamaa akishushiwa kipondo hawakuthubutu kusogea eneo la tukio kuamulia ugomvi
 
mbona makomandoo wa bongo hupata training ya hapa bongo na nje ya nchi wengine china israel cuba usa uk nk ukweli hawana tofaut afu zile move za kina rambo huwa hazina ukweli100% so usilinganishe utapotea ktk kutengeneza huwa kuna kitu kinaitwa ujanja wa camera unakuta mtu kaanguka toka ghorofa ya 24 anatua salama na kuendelea na safari tafakali
 
Tarehe 9 Dec tutawaona tena tubadilishe mood mana nchi hii mpka top kabisa wanafagilia wizi
 
Sjajua ujuzi wako kimapigano but i advice u..., usijaribu kupigana na commando hata kama ni mzee kama mzee balati..., wale ni exceptional.., hv, unajua limit ya entry age ya commando? Na kwnn unafkiri wamefanya hvo??

Mkuu umeongea aiseee.unamkumbuka yule komandoo alietomasiwa mkewe kiuno na sharobalo alichomfany!!yaa. Alimpeleka gizani kama dk2 akarudi mwenyew.jamaA alichomolewa hoi kupelekwa hospital akafia uko.wale jamaa ni zaidi ya hatari jaman sio watu Wa kuwachezea
They can kill u within a second
 
Pia ndani ya jeshi kuna commando course,na inaogopwa vibaya..mnaenda 100 mnamaliza 20,hao wengine wote wanatoroka mafunzo.
 
Kwa hiyo unaamini kuwa Somalia imeizidi Marekani? Hii ni mpya

Tafuta movie linaitwa 'The Black Hawk Down' ndo utajua Mmarekani alimpiga General Mohamed Farah Aideed au alipigwa !
Tena Director wa movie ni Mmarekani.
 

Mh. Kama sinema..kama namuona akifanya vitu vyake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…