Makomandoo wa Bongo

waliambiwa waende CUBA jamaa kusikia hivyo akatoroka usiku,akakamatwa kuulizwa kulikoni?"mimi na ujeshi basi"tukupelekea magereza"nimesema sitaki kazi ya ujeshi"akasepa"mpaka leo njemba inauza mitumba.mafunzo ya ukomandoo ya CUBA yananini? mnaenda 100 anarudi 1 ni kweli?
 
historia haifutiki tulimpiga Idd Amin,hali ya utulivi COMORO,M23 imebaki hadithi,Al-shabaab wanajikojolea wakisikia JWtz,bado hiki kinachowasumbua wanaigeria,namuomba balozi wa nigeria nchini atuarike tule sahani moja na boko haram.this is not our war but is now
 

stori za vijiweni hizo mkisubiri msosi kwa mama
 
Makomandoo wa simba na yanga vp au zao ni migogoro na mkwanja?
 

Kaka karibu japan inayostaajabisha. Nipo huku tangu 2012. Majanga yanayotokea japan hakuna linaloweza kufhibitiwa na nchi yoyote africa.
Can u imagine wana tren zinazoenda kasi ya 300km/hr? Still zimewekwa vifaa vya ku-detect eartquake na zinaweza kusimama anytime hata kama zilikua kasi namna gani ikiwa king'amuzi kitatambua a coming tremor.
Nadhan unakumbuka mafuriko ya dar junsi yalivyoua watu, tetemeko la 2011 japan lilisababisha tsunami iliyoua watu almost 20,000! Idadi iliongezeka b'se maji yalikuja mengi kuliko walivyotarajia.
Tuache hilo. Huku mzazi kuna watu wanapiga tizi. Na kuna tofauti ya kukomaa na kuwa na nguvu & skilfull. Majuzi nimekutana na babu wa miaka 63, ana dan 7 na amefanya martial arts kwa miaka 40 sasa. The only way to defeat him (due to utu uzima wake) ni kutokuwa karib yake i.e umpe za mbali, No longer faster but dangerous indeed. He can kill within few minutes ikiwa binadamu ataingia 18 zake. Sasa sina uhakika jamaa zetu waliokuwa wanavunja matofal kama wana ufaham wa meridians kwenye mfumo wa mwili.
 

Umezungumza kwa ufanisi! nachelea kufananisha na nchi nyingine coz, makomandoo wengi wa Tanzania wana train nje! si vizuri kutaja majina hapa lkn yupo mmoja nnamfahamu yuko Afrika kusini anafanya commandor basic training course, ni msomi mwenye bachelor ya ualimu! wengine wawili wako China training, kwa hiyo sina wasiwasi na uwezo wao! Pia kama unafuatilia kuna zoezi la pamoja la majeshi ya nchi mbalimbali lilifanyika Afrika Kusini, majeshi ya TZ yaliibuka kidedea japo yalitumia technology ya zamani kama vile compass direction badala ya GPS na waliwaduwaza wazungu!
Napita tuuuuu
 

Loading........122 GB
 
Actually kama ni commando wa ukweli hatatufanya lolote maana wamefundishwa kutokutumia mafunzo yao kwenye masuala yasiyo ya kivita.

Ila kama ni komandoo hamza kalala ni lazima uchuje damu!
 
Mkuu mie Ni wa kizazi cha karibuni, huyu Hans Pope ndo Yule wa malori ya mafuta, mdau mkubwa wa Simba na aliyekuwa champion wa mgogoro wa mafuta?

............ndo huyo huyo, tena yeye na kaka yake walikuwa na kesi ya uhaini ya kutaka kumpindua Nyerere !
Godfather alikuwa Mhaya mmoja anaitwa Uncle Tom, na Master wa mchezo mzima aliitwa Maganga.
Walioshiriki jaribio hilo woote walikuwa ni Makapteni wa Jeshi, hao wakina Hans Pope wakiwa ni miongoni mwao.
Maafisa wa Usalama waliokabiliana na jaribio hilo mmoja wapo ni Mabere Nyaucho Marando, huyu wa Chadema.
Lakini walisamehewa, ila aliye umia sana na hii issue ni huyo Maganga......maana alikufa akiwa hana kitu kabisa.
 


Una uhakika???!!!
 

Wajanja sn hao! Walitumia hiyo technology ya zamani kwa maksudi kuficha hizi za Sasa!
 

Uwezo huo na ufahamu huo wanao!
 

...........General Mohamed Farah Aideed kule Somalia alipokuwa anapambana na majeshi ya uvamizi ya Marekani, yeye alitumia mawasiliano ya analog, wakati Wamarekani walitega kukamata mawsiliano ya digital !
hawakuamini kilicho wakuta, ............ wakatoa majeshi yao Somalia !
 

Ally Kombo umeanza mambo yko!
 
tuache kupigana kamba.
kulingana na uchumi tulionao tz si rahisi kuwa na watu ambao ni skilled compare to those owned by NATO kama wanajamvi wengine wanavyonadi.
juzjuz kuna mtu alipost thread moja inayoelezea majeshi imara top ten africa tz hatupo.
tuache stori za magenge ya kahawa za kupoteza muda.
weak economy = weak army.
najua kuna wenye akili za kuvukia barabara watabisha 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…