Doctors msaada jamani nina makohozi yasiyoisha yaani nakereka hapa kooni nikiswaki lazima makohozi yatoke,samtymz inanibidi kufanya kama nakohoa au nagunaguna kupunguza kohozi kooni. Imekua hivi kwa miaka mitatu sasa. Ni kooni tu si kifuani. Msaada jamani inaweza kuwa ni nini? Tiba ni nini? Hapaumi Ila nakereka sanaa