Mkuu mambo ya kuchepuka mimi nimekoma maana kuna siku nilichepuka kuja kugundua kumbe ni mtu na dada yake yaani ilikuwa ugomvi mkubwa na niliamua kuwaacha wote,kwa sasa nimetulia na mama watoto na napambana na vishawishi maana kila mwanamke unayemuona sasa hata kama ana pete ukipiga stata tu gari inawaka.
Kwa sasa tulia na lea mtoto maana tuna watoto wenye umri sawa na huwezi amini mwenzio nikitaka kurudishwa nyumbani anapewa simu mtoto utasikia baba nimekumiss njoo nyumbani!!