C Cashman JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 3,333 Reaction score 5,845 Aug 13, 2022 #1 Simba niliwaambia kuleta kocha mzungu ni upumbavu usiomithilika Wapi Moses Phiri unamweka Kiyombo na Boko kweli? Ninyi viongozi bado mnafanya maskhara kama ya mwaka jana?
Simba niliwaambia kuleta kocha mzungu ni upumbavu usiomithilika Wapi Moses Phiri unamweka Kiyombo na Boko kweli? Ninyi viongozi bado mnafanya maskhara kama ya mwaka jana?
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 18,431 Reaction score 26,333 Aug 14, 2022 #2 Tatizo sio kufungiwa yaani hata timu mnashindwa kupanga