Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 6,132
- 10,514
Jumapili ijayo itasimama kama tukio la kipekee la ibada, ambapo waumini wa kanisa letu watakusanyika kwa moyo wa unyenyekevu na shukrani. Misa ya pili itaongozwa kwa upekee na kwaya ya Mtakatifu Muhammad Hussein, ambao sauti zao zimekuwa faraja na kuinua mioyo ya wengi. Wakati huo huo, jukumu la kuhakikisha nyumba ya Bwana inang’aa litakuwa mikononi mwa jumuiya ya Mtakatifu Abubakar Masood, ambao kwa muda mrefu wamejulikana kwa bidii na moyo wa kujitoa.
Katika ibada hiyo, wahudumu kutoka kigango cha Madrassa al-Nasoor wataongoza ibada kwa nidhamu na utulivu wa kiroho, kuhakikisha kila waamini anaingia katika ibada kwa amani na tafakuri. Neno la kwanza litasomwa na Abdulmajid Nassor, akifuatiwa na Ashraf al-Hatib kwa somo la pili, wakileta hekima na mwanga katika maisha ya kiroho ya waumini.
Ndugu zangu katika imani, tunapokutana kwa ibada hii, tuikumbuke thamani ya upendo na mshikamano. Tuwe watu wa amani, tukilinda umoja wetu kama zawadi kuu ya Mungu. Jumapili njema kwenu wote—Waislam wenzangu, Yesu ni Bwana na Mwokozi wetu; Allahu Akbar! Bwana Asifiwe!