Makinikia ya dhahabu yaruhusiwa tena kupelekwa nje ya nchi kama zamani

Inashangaza mno! Nafikiri magu ataiacha Tz kama alivyoikuta matumaini yetu yanapotea.
Kwa mtazamo wangu hakuna linaloshindikana ila nadhani tunakosa proper approach ya vitu vingi sana tuache kuweka siasa kwenye mambo yanayohitaji taaluma.... Ni uchungu, unapoona msomi mnaetarajia ataleta mabadiliko katika sector fulani, kwa kuwa kiti alichokalia ni cha uteuzi anashindwa kutumia weledi ama taaluma, anabaki kuwa praise and worship member

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inashangaza mno! Nafikiri magu ataiacha Tz kama alivyoikuta matumaini yetu yanapotea.
Unajua story za vijiweni zinawaponza sana watu wanaofikiri wana akili kuliko waliopo katika maamuzi, matokeo yake mtu huyo anapopata nafasi ya kuwa mwamuzi mara nyingi anaanza kufanyia kazi tafiti za vijiweni ambazo mara nyingi ni nightmare na sio uhalisia. Matokeo yake inakuwa kuharibu tu mambo yaliyokuwepo wakati hana jipya la kusaidia kurekebisha hali aliyoikuta.
 
Na kipindi hiki cha corona mambo haya yanapita bila kufahamika na kujadiliwa na bunge au umma.
 
Yanapelekwa sawa ila kwa makubaliano mapya ambapo kwa kuzingatia urari wa 70/30% ya mgawanyo wa faida ambapo faida ya shughuli zote za uendeshaji wa kampuni ya Twiga.

Serikali itachukua 70% ya faida ya jumla itakayo patikana kutokana na mauzo hayo hivyo ni hatua kubwa mno. Sasa serikali kuwa mnufaika mkuu wa mauzo hayo
Nimesoma jinsi jamaa anavyoweka maelezo yake ya dharau kana kwamba hakuna lililofanyika, bora angeuliza yameruhusiwa kwa makubaliano gani?
 
Yanapelekwa sawa ila kwa makubaliano mapya ambapo kwa kuzingatia urari wa 70/30% ya mgawanyo wa faida ambapo faida ya shughuli zote za uendeshaji wa kampuni ya Twiga.

Serikali itachukua 70% ya faida ya jumla itakayo patikana kutokana na mauzo hayo hivyo ni hatua kubwa mno. Sasa serikali kuwa mnufaika mkuu wa mauzo hayo
Afadhali na sisis tuanze kufaidika sasa...
 
Back
Top Bottom