MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,182
Dah Mungu hamlazi njaa mja wakeKuna Jamaa ana Cheti feki anataka ukibadilishe kiwe original
Tetetetetetete Mungu anakuletea riziki mpaka mlangoni teteteteteteteteteteDah Mungu hamlazi njaa mja wake
God is always gudTetetetetetete Mungu anakuletea riziki mpaka mlangoni tetetetetetetetetete
Sio kosa lakoLeo ndio siku nyingine mtu anataka kujionyesha kwamba yeye yupo kwa ajili ya WANYONGE wa Nchi hii.
Kumbe nalo ni jizi tu kama majizi mengine ya huko nyuma.
Shame.
Lilishaanzishwa; sasa ni muendelezoBado masaa 2 dude lianzishweew
Hivi bado unafikiria mchanga wakati pesa huna,wonders kweli shall never end nchi hiiMpaka sasa dakika ya 45 kipindi cha kwanza Magufuli 3-0 Lissu...
Ila nina hofu na kipindi cha pili,Lissu aweza yarudisha yote na kuyaongeza!
Kuanzia leo hadi ONYX zote tunapiga marufuku kusafirishwaHivi bado unafikiria mchanga wakati pesa huna,wonders kweli shall never end nchi hii
Mkuu unicheki tufahamiane. Nitakuwa mbele kabisaNdoo najiandaa kuelekea ikulu naona leo hapatatosha, around saa tatu nitakuwa geti la ikulu