Makinika! Sio kila changu ni binadamu

Na wewe kwa nn ulikula?
  1. Nilikuwa nimemzoea (alikuwa amefanya kazi kwa zaidi ya miezi 6 bila matendo ya ajabu)
  2. Kukosa uzoefu wa maisha (hivyo vitu nilikua siviamini kabisa, ila wahenga wanasema kua uyaone) !
  3. Ujinga (kuamini watu hawana nia mbaya na mimi, nilikuwa nachukulia watu wanamema zaidi ya mabaya)
 
Hapa sasa naanza kupata picha, niliwahi kununua chombo kimoja ya singida matata sana hadi nikajiuliza huyu kafata nini huku? ila ilinishangaza kukutana na papuchi inabana na joto la hatari kuliko hata mademu wanaojitunza, naweza kusema kwa uhuni wangu wote pale kwa yule malaya alivunja rekodi na haijatokea, sio bure, itakuwa alinitegea nikapiga mbuzi katoliki.

Sirudii tena
 
ila ilinishangaza kukutana na papuchi inabana na joto la hatari kuliko hata mademu wanaojitunza, naweza kusema kwa uhuni wangu wote pale kwa yule malaya alivunja rekodi na haijatokea, sio bure, itakuwa alinitegea nikapiga mbuzi katoliki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ilifanyiwa featuring hiyo
 
Wanaume wanarogwa sana, ni watu wa kuwaonea huruma tu....

Mshana hivi manii zinazohitajika kumroga mwanaume ni zile fresh kutoka kwenye kichupa au hata zikishaingia nikazichota kwenye kakisima kangu zinafaa?

may day may day another man down here[emoji24][emoji24].
 
Hizi photocopy ziko telegram sana.
 
nimekuelewa na nimemakinika...lakini umeandika mbio mbio sana...ulikuwa upo mazoezini nini kamanda
 
Mi kuna kitu sijuagi kama nikweli naomba kuelimishwa. Eti mtu anayekula kitimoto na bia kila mara hawezi kuathirika na ushirikina? Na kwanini mtu akiwa amelewa ata apite sehemu hatarishi kwenye roho za kumdhuru hazimfanyi kitu? Naomba elimu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…