Makinika na mijusi wa ndani ya nyumba!

Sasa kama unakiri paka anaweza kutumiwa na wachawi kukushambulia,

Kwann ukae na paka ndani ya nyumba?

Narudia kusema, wengi wafuga paka, hukosi mchawi katika familia hiyo.
Hayo ni kwa mawazo yako kwa sababu nyinyi warokole kila saa huwa mnawaza kurogwa na ndio maana wengi ni masikini kwa sababu huwa hamna akili.

Hivi hayo mapepo yanawafuataga nyinyi warokole tu ila wa dini nyingine hayanaga muda nao sio.

Mungu kaumba paka kwa ajili ya kudhibiti wadudu waaribifu ambao wanakaa ndani na ndio maana hakuna kitabu chochote cha dini kinacho haramisha paka kukaa ndani.

Sio paka tu mpaka huyo mkeo unaye lala naye kitanda kimoja anaweza kutumiwa na wachawi kukudhuru sasa ni kuulize watu wasiowe kisa wake zao wanaweza kutumiwa na wachawi kuwadhuru?
 
Jikite kwenye mada.

Mifugo wakae bandani, hakikisha hakuna panya ndani Ili ikosekane sababu ya kufuga paka.

Narudia, wafuga paka wengi wao ni witches.

Najua najitafutia vita, siogopi sababu nimeshazoea. Yesu wangu ana nguvu kuliko wao.

Waliookoka, wanaoshambuliwa sababu ni threat Kwa utawala wa Giza, dini zingine wale wa nyota na mwezi, wanayafuga na kuyaabudu, hayana sababu kuwashambulia.
 
Pole sana dalili ya kwanza ya umasikini, kuukaribia umasikini na kuendekeza umasikini ni kuishi na hivyo viumbe ndani ya nyumba yako. Mende, panya, mijusi, tandu, konokono, nyoka, nzi n. K... Nyumbani kwako adui mkubwa labda anatakiwa kuwa mbu tuu
 
Kama una midoli ndani, vinyago kama mapambo,

Huna tofauti na wanaolala ndani na paka na mbwa!!
 
Urokole ni ugojwa wa akili yaani mungu kamuumba paka na mbwa kwa ajili ya kuishi na binadamu alafu ww unasema watu wasifuge wanyama hao ww kama nani?

Suala la mchawi kutaka kukudhuru sidhani kama ana hitaji mzunguko mkubwa namna hiyo.
Tena ni ulemavu mbaya mno.Hapo anaua viumbe wa Mungu bila sababu za msingi alafu anasingizia alikua anapigana vita.Unaweza kuta ni mandoto tu ya kawaida ambayo kila mtu anayaota ila mwenzako anawaza kulogwa.Aliyeleta hizi dini alituweza sana.
 
Huyo mjusi uliyemweka kwenye avatar hapo juu, ni mdogo ukilinganisha na wale mijusi nilipokuwa napambana nao katika Ulimwengu wa Roho.

Mjusi yule alitumika kupotosha zile Roho chafu.
 
Back
Top Bottom