Makinia ndio haya hapa

Hujambo? Umerudi toka ofisini naona zana sijui ndo unasafisha? Soon tutakuwa nanyi.
 
Hujambo? Umerudi toka ofisini naona zana sijui ndo unasafisha? Soon tutakuwa nanyi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shikamoo dada nimekuham VP huko?
 
Huku makinikia yanakwenda bila shida. Kuna mahala mshana tulikwenda malori ya kichina yamejaza hayo ambayo yana rubi na vitu vingine.
 
Huku makinikia yanakwenda bila shida. Kuna mahala mshana tulikwenda malori ya kichina yamejaza hayo ambayo yana rubi na vitu vingine.
Huko huko dada?
 
ni fedhehea kwa kijana kama wewe kung'ang'ania kufikiria habari za kishirikina muda wote!

wachawi hatupo ivyo kijana, nimekuona kwa muda sasa unajinadi hapa

badilika, wachawi hatuko ivyo
asante kwa ushauri
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila mazungumzo yatachukua si chini ya miaka mitano
Mkuu nitaiandikia kabisa serikali barua ya Mirathi..ikitokea Mungu amenihitaji, kabla ya mgao, Noah yangu apewe Magidalena....

Ndugu zangu wanamjua..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu nitaiandikia kabisa serikali barua ya Mirathi..ikitokea Mungu amenihitaji, kabla ya mgao, Noah yangu apewe Magidalena....

Ndugu zangu wanamjua..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haki ya Mungu umenichekesha ! Ni Magidalena yule wa mabanda ya Papa Tanga?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…