Mpasuajipu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2010
- 836
- 52
hivi kumbe hisabati ni janga la taifa hadi humu jf??? 89+3 sawa sawa na 92, hiyo 8 iliyobaki ikowapi???
kumfananisha sisimizi na tembo.
Mnamkosea haki Sitta kumlinganisha na Makinda. It's defamation
Mama Makinda namuonea huruma hili bunge si saizi yake maana benchmark iko very high foe her to reach.....aki jump anafikia 15%....she is even poor....performer