Makinda na yebo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makinda na yebo

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by sakapal, Feb 29, 2012.

 1. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Muda mrefu sana watu walikuwa wanajiuliza hv mheshimiwa mama makinda hana nywele kabisa coz mda wote yeye style yake ya nywele ni moja tuu ya kuvaa wigi wiki iliyoisha ameonekana jimboni kwake akiongea na wananchi wake huku akiwa amesuka nywele barabara za yeoyebo inamaana ana nywele ambazo zinasukika na alitoka chicha ile mbaya nilichelewa tu kurekodi picha yake mngeona cjui nani anaweza turushia picha ya mama akiwa na kofia na nyingine akiwa na yebo muone tofauti wawezasema mdogowake ati lol!
   
 2. m

  mkazamjomba Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yule mama ana nywele sana ila kwa ajili ya umri mvi zinasumbua
   
 3. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  khee nimuona alipendaza sana
   
 4. s

  salnado New Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  teh teh mimi nwanzo nilijua ana para.dah alitoka chicha pamja na points za ukweli
   
 5. ngulinho

  ngulinho JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nambari ya simu uliyopiga haifanyi kazi kwa sasa.
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  asa si mmwambie asuke yebo akiwa mjengoni
   
 7. Beautiful Lady

  Beautiful Lady Senior Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Alipendeza kweli kweli.Hayo mawigi yake sijui anayapendea nini...
   
 8. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,138
  Likes Received: 947
  Trophy Points: 280
  Karibu tena sakapal baada ya kupotea kwa muda. Huyo mama unayemzungumzia namheshimu sana kiasi siwezi kusema kitu kumhusu. Ila akivaa wigi anapendeza sana. Sijamwona akiwa kasuka.
   
 9. c

  chief72 JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 567
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  alipendeza sana hata mimi nilimuona ila tu aliyoyaongea yalinichefua
   
 10. egbert44

  egbert44 JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 361
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Alipendeza na aliyoyaongea yalinipendeza hasa kuhusu posho mjengoni!!
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  sidhani kama ana nywele maana akili ni nywele na mambo anayofanya huwezijua kama ana akili
   
Loading...