Makinda: Makarani wa kuandikisha watu zoezi la Sensa wataajiriwa na Serikali za mitaa huko huko wanakoishi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,875
Kamishna wa Sensa mh Anna Makinda amewataka vijana kuwa makini na matapeli wanaojifanya watawaunganishia ajira kwenye Tume ya Sensa.

Makinda amesema Tume haiajiri bali makarani wote wataajiriwa na ofisi za serikali za mitaa kule wanakoishi.

Source: ITV habari
 
Watajazana waalimu huko daah hii kamda ingeangaliwa vizuri. Ili wasiwe na shida ndogo ndogo bali kuwekeza akili mashuleni
 
Kamishna wa Sensa mh Anna Makinda amewataka vijana kuwa makini na matapeli wanaojifanya watawaunganishia ajira kwenye Tume ya Sensa.

Makinda amesema Tume haiajiri bali makarani wote wataajiriwa na ofisi za serikali za mitaa kule wanakoishi.

Source: ITV habari
Kwakweli kuna watu wana neema, mama anamakinda mara nhif mara sensa, mara... Ngoja na mimi nipambane Wallah
 
Kwani lazima tuhesabu c bora tukadirie tuu inatosha!
 
Back
Top Bottom