Makinda amuumbua Makongoro Mahanga

Makinda amuumbua Makongoro Mahanga

Mmh!hiyo ni danganya toto,uckute ana visa binafsi na Makongoro! Kwangu ni mapema mno kumpa credit!
 
mzee bado ni mapema sana kuanza kumwamini huyu mama kwani anatumiwa kwahiyo the next day anaweza akaku disappoint big time.
<br />
<br /
atumiwe na hasitumiwe kwa sasa mama huyo hana mvuto mbele ya jamii . Wamemzarau wa ccm wenzake wanamtumia kama Brodozer
 
Kumbe ilikuwa ni issue ya masabauri, kwani huyo kwa nini nang'ang'ania sana hiyo
 
Kwa hlo NAKUPONGEZA mama,you see! UNAWEZA! Keep it up mama,usitishiwe nyau.Jenga heshma yako kwa jamii italipa achana na biasness
 
Big Up mama Makinda! with time utaeleweka! kama kuna mapungufu basi hayo ni ya kwake personally na si kwa kuwa eti amewekwa na mafisadi. Yule mama yupo kivyakevyake hafungamani na mtu yeyote! believe me, dhana ya kuwa amewekwa na mafisadi imeletwa na mashabiki wa Sitta ambao hawakuamini kama Sitta anaweza kukosa nafasi ile. Mtu wa mafisadi alikuwa ni Bwana wa Vijisenti ambaye aliondoka robo fainali na mzee Sitta.

Kwa kuogopa makundi ndio maana alichukuliwa mtu ambaye hakuwa kundi la "mafisadi "wala kundi feki la "Wapinga mafisadi". Hizo ni propaganda zilizoenezwa na mzee Sitta dhidi ya huyo mama. Tatizo la mama huyo ni kutotoa haki sawa Bungeni kati ya wabunge wa CCM na upinzani. Kama atarekebisha hilo ni mzuri kwani hana tuhuma za ufisadi na makundi ndani ya chama chake.
 
ni kama kinyonga anavyobadilika lakini Gamba halivuki...
 
Sikuamini nilichokiona leo asubuhi ambapo Makongoro Mahanga alitaka kurudia mchezo uleule wa Lukuvi uliosababisha akina Tundu Lissu watolewe nje.

Makongoro alikuwa analeta 'taarifa' lakini akaanza kuhutubia. Spika palepale alimkatisha kwa kumwambia 'usianze kutuhutubia'. Hii ilimfanya Makongoro akose mwelekeo kwa taarifa yake iliyolenga kuzuia baadhi ya mijadala.

Spika akampa live kwamba 'siwezi kuzuia wabunge kujadili'.

Jibu hili lilimuudhi mmoja wa mawaziri akaomba mwongozo.

Spika akakataa akisema 'hatuwezi kukalia kuongozana tu wakati wote'.

Hakika ni kama 'I can see at least some light at the end of the dark tunnel'

Inawezekana, umeona, eeeh?
 
dawa yao ya kudumu inakuja , KATIBU YA WANANCHI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
 
VERY GOOOOOOOOOOOOD madame mwanzo mzuri japo utaanza kuunda maadui sasa hivi lakini ni bora kuunda maadui wachache kuliko kuwa Adui wa Umma.Manake kuwa adui wa umma ni hatari sana na tishio kwa maisha yako.lakini sasa hivi watanzania watakueshimu na utaona watakavyokusimamia bega kwa bega..
 
Back
Top Bottom