Makinda ampinga Zitto hoja ya Kumuondoa Waziri Mkuu

Hizi ni kanuni za kulindana,pumbavuuuuuuuuuu zaooooo!

eeeh na ndugu zangu magambaaa kwanin majina yenu yanaanza na shee shee sheee?
Shekilangooo...
Shekifuuu..
Shelukindooo...
Angalien sana msije mkasema hata shetani ni ndugu yenu mana nchi imewashinda hiiii...!!
 
Wana jf inaonekana hadi mh.Tundu A. Lissu kuwa kimya kuhusu hoja ya mh Zito basi imekosa nguvu.ninavyomfahamu angeshasimama
 
waungwa,ni vyema kusoma na kuelewa hata kama kurudia mara 10 mpaka muelewa,na hapo juu maelezo yapo,lakini bado kuna baadhi wanaandika maneno yenye ufinyi kimawazo,tusaidiane hili tuweze kuleja hoja za maana,na ambazo zitasaidia kuleta maendeleo mazuri kwa Taifa letu.kama mijadala itakuwa na kejeri nyingi,kweli tutafika?
 
Wanaosema Zitto kakosea labda hawajuhi wasemalo. Hii move ni nzito sana, hata kama watajitahidi kuipiga kwa vipengele vyote ujumbe mzito umefika. Kama Mr JK ana akili ya kutambua jema na baya kwa nchi hii, inabidi abadili baraza la mawaziri asap kwani bunge lijalo hii issue inaweza kuibuka tena. Na hii imetuonyesha ni wabunge gani tulionao. CCM ikishinda mwaka 2015 naenda kuomba uraia Rwanda
 
Aluta continue....Mpaka kieleweke. Bungeni si mahali pa kulindana. Ni mahali pa kuwajibika tena kwa wananchi maana hata Waziri Mkuu asisahau kuwa yuko pale kwa kura za wananchi...hivyo asijisahau.
 
January ni kichwa na mara zote tumeamini hivyo na hivyo ndivyo alivyo. Jamaa ni kichwa zito ka kurupuka kutafuta umaarufu ili hali anajua ukweli. Yaan zito anavyohangaikia kutafuta umaarufu angekuwa anahangaika hivyo kumtafuta mungu ni dhahiri angekwenda mbinguni
Umemaliza kuharisha upatiwe maji?
 
Kwanza niwaombe samahani kwa usumbufu, huku niliko napata taarifa kwa kubahatisha, hivyo nilibahatisha kuona kidogo tu taarifa za wenyeviti wa kamati za bunge jana na walijieleza vizuri kupitia TV tena yaonekana yote waliyoyasema ni kweli tupu, sasa naomba mnijulishe kama mpaka sasa wamejiuzulu wangapi?????
 
alianza na shukrani kwa waliompigia kura na familia yake.amejaribu kutetea hoja yakua na akiba ya dhahabu benki kuu,sijui itatoka wapi hiyo hiyo dhabu kama mawaziri wapo nje ya nchi wakijitahidi kuficha raslimali za nchi. JOSHUA NASARI kaingia juzi tu bungeni alakini kaonyesha uwakilishi wake kwa wana arumeru.

Mbunge sio kukaa bungeni na kuitikia ndio na kugonga meza,ni kupambana katika hoja na kupigania jimbo lako.umasikini uliopo igunga ni MUNGU pekee ndie anaejua.

Hata maji umeshindwa kuomba katika mijadala yote hiyo iliyochangiwa?kweli rushwa ni mbaya sana,huleta sifongo badala ya asali, hanajitetea kwa kupinga rushwa tena kwakutaja jina la muumba,hakika hii laana itawatafuna magamba kwani hakuna mbunge wa sisiemu alieingia madarakani bila rushwa au ushawishi batili
 
Mlitegemea nini kutoka kwa kada wa CCM. Hawa wote wanafanana. Tofauti yao ni pale wanapovizia mwenzake aondoelewe ili yeye aingie, nothing more. Kuna makanda wachache sasa wapo CCM wanapiga right timing ili waruke upande mwingine. certainly JM is not one of these!


Lakini mkuu uwe mkweli, Zitto alichemka na ndo maana hujasikia wakiomba mwongozo wa spika. Alikuwa out of truck.
 
MAKAMBAAA! Watulimsifia hapa kumbe kimeo. Magamba in action, kwanini hawakusubiri kusudio liletwe ndiyo wasome ibara? Hii ni kutishana watu wasiweke sahihi: sahihi ziwekeni hadharani tujue magamba walio tayari kusikiliza wananchi
 
Mie naona mbio za CCM kuimbia chadema zimefikia hapa
View attachment 52236
hata wafanyaje, wataliwa tu

Akina January wanajaribu ku-equal Zitto's intelligence kitu ambacho hakiwezekani

January comes from a silver spoon and Zitto ni mtoto wa kikopo

Tehe tehe tehe, hizo mbio hizoo!!

Mi nadhani sasa ni wakati muafaka zitto amejionea mwenyewe unafiki wa rafiki yake january makamba, sasa wananchi wanpolalamika yeye kuwa karibu na hawa magamba huwa wanamaanisha, na ukweli wenyewe ndio kama huu, alichokifanya january ni sawa na methali isemayo kikulacho kinguoni mwako!!
 
Bora marekebisho ya katiba yaje tutaendelea kuburuzwa .............kwani katiba hii kwa sasa ni ya Tabaka tawala kamwe haina nafasi kwa wanyonge.............Poor tanzania
 
(2) Hoja yoyote ya kutaka kupitisha Azimio la kura ya kutokuwa na
imani na Waziri Mkuu haitatolewa Bungeni endapo:-

(a) haina uhusiano na utekelezaji wa majukumu ya
Waziri Mkuu yaliyoainishwa katika Ibara ya 52 ya
Katiba;

(b) hakuna madai kwamba Waziri Mkuu amevunja
Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma;

(c) haijapita miezi sita tangu alipoteuliwa; au

(d) haijapita miezi tisa tangu hoja ya namna hiyo
ilipotolewa Bungeni na Bunge likakataa
kuipitisha.


With red bolded words!!!kikao kijacho mada hiyo haitakuwepooooooooo!!
 
Kwani tatizo ni nini? Mbona move haijafutwa, ila imeelekezwa ifuate kanuni?
 
Back
Top Bottom