Makinda ampinga Zitto hoja ya Kumuondoa Waziri Mkuu


wELL SAID mURRA

It is M4C:
  • Movement 4 Change
  • Movement 4 the Cause
  • Movement 4 our Children
  • Movement 4 our Country

The time has come!!
 
Kirobo kazini

Kwa ufupi hoja ya Zitto labda bunge lijalo siyo J3 tena amesema sio utaratibu na mambo ya hayo ni makandokando haikuwa ya msingi.

Kwa maana hiyo Mawaziri watapeta kama kawa na tutarajie chuki na kisasi ktk kipindi hiki cha madaraka na prove taaarifa ya kuwa ni mabadiriko ya baraza la mawaziri ndio litawatoa sio kura za bunge.

Na kulingana na kauli ya Kiroboto Zitto kasema kuwa tatizo si waziri mkuu bali mawaziri wake ndo hoja ya Zitto kwa maana nyingine watakao achia ngazi ni baadhi ua mawaziri si baraza zima na ikumbukwe kuwa Mrema kasema ni system yote ilitakiwa wote waondoke.

Tanzania tunasafari ndefuuuuuuu sana kufika
 
Anasema pia kuwa siku zilizobaki ni tatu na zinazohitajika ni 14, so mama anasema wakusanye tu lakini hoja hazina msingi
 
Hivi wanasheria wa CDM kina Lissu, Mdee etc hawakujua taratibu za kuwasilisha hoja ili kumshauri Zitto kabla hajaumbuka na hoja yake hii kama ilivyotokea sasa??

Pamoja na kwamba namsapoti Zitto (kama yeye), nalaumu magwanda kwa kutokuwa makini.
 
Zoezi Batili.......................
Thanl You Speaker...
Someni katiba.....
 
Ni kutoka bungeni muda huu na tusome katiba ya nchi vizuri na kanuni za bunge. Tufanye mambo mengine sasa na tuache jazba.
 
Dah! inaonyesha kweli mbio hizi zinaweza kwama ukutani maana kuna kipengele cha D kinasema hivi:-
(d) haijapita miezi tisa tangu hoja ya namna hiyo ilipotolewa Bungeni na Bunge likakataa kuipitisha.

 
anasema hoja ya Zitto haikubaliki kama wanataka wakusanye kwa ajiliya kuletwa kwenye bunge lijalo...ni kama Makamba anajiona shujaa vile kwa hii movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…