Fahari omarsaid
Senior Member
- Feb 8, 2011
- 101
- 13
Hajafanya madudu bt tushapiga ramli nakujua atafanya coz hajawa spika kwa ushawishi wake bali kwa ushawishi wa wafanyabiashara wa CCM
hajafanya???? hujui leo kafanya nini!?Hajafanya madudu bt tushapiga ramli nakujua atafanya coz hajawa spika kwa ushawishi wake bali kwa ushawishi wa wafanyabiashara wa CCM
kwa kasi ya bunge la sasa nina imani huyu mama gwaride litamshinda
Aisee sentensi yako tata, yaani nilikuwa nadhani tupo kwenye jukwaa la mapenzi.