Makinda aanza kazi aliyotumwa

Hajafanya madudu bt tushapiga ramli nakujua atafanya coz hajawa spika kwa ushawishi wake bali kwa ushawishi wa wafanyabiashara wa CCM
 
Hajafanya madudu bt tushapiga ramli nakujua atafanya coz hajawa spika kwa ushawishi wake bali kwa ushawishi wa wafanyabiashara wa CCM
 
Kwetu umeme wa dowans{CCM} hatuna leo niambieni kafanya nini coz umeme wote wamepewa wadhamini wa CCM{dengu,dali ti,wahindi}
 
She is just OK.......hili bunge hata angekuwa nani lingempa shida......lina damu changa yenye uchungu na hii nchi....lina wanaotafuta umaarufu wa kisiasa,lina wenye nia ya kukuza vyama vyao,lina waongo wa wazi wazi,lina ushabiki wa kijinga,lina wasio na maadili na heshima kwa yeyote na lina wenye spirit za liwalo na liwe.....Watu wana malengo tofauti,hakuna anayekubali kuwa chini......na kwa minajili hiyo maslahi ya nchi yatajibiwa kwa lugha za mitaani au watu hawatajadili hoja kila saa ni Mh.Spika utaratibu,Mh Spika Taarifa,Mh Spika kanuni fulani.....inakera....
 
Jamani tusiwe intimidated so much na spika, kwani hatuwaamini wabunge wetu (wa upinzani), mbona mambo bado hawajachanganya?? Hiyo hoja hata kama ameizuia si bado tutadai hata huku barabarani? Mimi simhofii Makinda kwani hayuko juu ya sheria/kanuni ila anatumia kanuni. Kama ana ubavu basi awaondoe wabunge wa upinzani wabaki CCM pekee.. Next to impossibility!!!
 
CCM hawataki mabadiliko kwa sababu hayana maslahi kwao... Mabadiliko ya nini ikiwa wanapata wanachotaka wao na familia zao??? Wanajua mabadiliko yatawaondoshea ama kumaliza wizi wao wanaoufanya kila kukicha na uchafu mwingine..

Lengo kuu la kumtoa Sita na kumweka Anna ni kulinda maslahi yao ambayo waliona yatakuwa hatarini kama wataendelea kumwacha Sita aendeshe bunge kama last 5 years... Huyu mama tutegemee mbovu tu kutoka kwake kama spika maana aliwekwa kwa makusudi!! Inatia hasira sana kuona wachache wanataka kuendesha nchi kama watakavyo as if ni ya kwao peke yao.... Wanachofanya wamisri mimi nakipongeza sana na nitaomba wtz tuige mfano??? Yes tuige mfano maana kwa kutegemea hii amani uchwara maskini wataendelea kuwa maskini kizazi baada ya kizazi na mafisadi wataendelea kuwa matajiri kizazi baada ya kizazi (kwa wanaotajirika kwa jasho lao big up.. hapa hawapo). So mama spika na hizo hasira zake kama kifaru sijui..............................!!!!!!!!!!!
 
Ernesto AFRIKA viongozi wako juu ya sheria ww hujui hilo na barabarani kuna taarifa za ki intelegisia au hujui na ili pia
 
KWA kasi hii nchi yetu ipo mashakani sana na sidhani hii miaka mitano itaishaje!!!
huyu spika awe na utu japo kidogo kwani akiendelea hivi nina hakika akina MBOWE, LISU na SUGU watamkata vibao live Luningani.
MSISEME SIKUWAONYA!!!!!
 
Alikuwa anamshambilia Halima Mdee kijinga kabisa, ilikuwa ni wazi anaisemea CCM namsifu sana mbunge wangu Mdee alivyomshushua kavukavu kuwa amempotezea muda wake!! Anajivunjia heshima bure.....aendekwao Njombe akawapikie wajukuu zake naona uzee unamsumbua sana bibi kizee yule...... kanichefua sna leo!!
 
Makinda na Makamba wakioana watoto wao watakuwa wabishi na vimbelembele kama Kafulila.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom