sawa kabisa nakubaliana na wewe.
Ila kuna tatizo sana pia kwenye ngoma zetu, huwa naona karibu vikundi vingi wanakata viuno tu, hamna style mpya!! sanaa kawaida huwa inauzika na kama watu watakuwa creative basi itajiuza sana.
Angalia hat miziki ya kizazi kipya, niambie ni nani anayeimba na kuwa ana kundi la kucheza style ambazo ni unique zenye kuvuta hisia za watu
kweli makhirikhiri sioni kitu hata nilivyoona kwenye mkanda wao ni wimbo mmoja tu mzuri,mingine bomu.
When we talk, eat, think about globalization hizi ni athari zake na tukubaliane ni haki ya mtu kuamua anataka au anamtaka nani ili afurahishwe ndio maana kila kukicha watu wanabishana kuhusu arsenal na man U, hata kukosoa makocha wao!!
Simply kuna tatizo sehemu fulani , halijaanza sasa, lakini kubwa ni kuwa hatuna utamaduni wetu...umepotea, umeacha room ya hawa watu kuja na kwa sababu kila kitu tunacopy kesho watakopy hapa Tz ,angalia miziki ya zaire ilivyomeza utamaduni wa kitanzania.
It is too late but not like that to restore our identity that is our culture.