Makeup lovers

Daaah
Hapa nawaza cha kupaka uso ukae sawa
Sipati majibu

Tafuta hii mask inachanganya na apple cider vinegar unapakaa dakika 15-20 unaosha.

Kwa kuanzia unaweza kupaka 2 times kwa wiki.

Ni natural na ipo nzuri sana.

Me hupendelea kufanya usiku karibia kwenda kulala.
 
Aaah ok thanks
 
Foundation :kiss beauty wakati mwingine natumia za sleek

Lipstick :lovetouch or nyx

Powder: BB

Eye brows:kiss beauty

Glowkit: Anastasia Beverly hills

Concealer: pro conc

Brush hata sijui brand yake

Powder: banana powder Ben nye(3&5)

Eye liner :huda

Eye shadow: morphe

Contuer kit: lilian

Bronzer: nyx matte

Sponge :sweet rose
 
Eyeshadow gani unatumia ya Morphe me natumia ya Jacklyn hill.

Apo kwenye bronzer tunatumia sawa nataka nkajaribu na ya physician formula butter bronzer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…