Makeup lovers

Mimi siku hizi nimekuwa situmii sana make-up nadhani kwa "necha ya kazi yangu" lakini nina products za black-opal kwa table yangu ya chumbani,.

Na huwa natumia kwa mitoko hasa ya jioni kama sherehe hivi,na huwa naitoa kwa kutumia mafuta halisi ya nazi kwa kutumia pamba laini....ni mwiko kwangu kulala na make-up...
 

Nliwahi kutumia cream to powder foundation ya black opal nzuri tu in truly topaz.
 

Me natoa kwa cleanser alafu nafuta kwa wipes
 
Itabidi unifundishe dada akee hizo mambo zimenipita kushoto kidogo nimeridhika na ucheusi mangala wangu
 
Unaogopa kuimeza ndotoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…