Ladslaus Modest
JF-Expert Member
- Jun 27, 2008
- 635
- 20
hao ni marafiki zake tu, unajua chuo makini hakiwezi kumtunuku mtu mwenye mapungufu na hatia kadhaa za utumiaji mbaya wa madaraka yake kama mkapa, hizi tuzo za heshima zinatolewaje kwa mtu asie jiheshimu, mwenye kiburi ,asie staha, kama mkapa akitaka aombe ikulu imvue kinga aone heshima yake.
Tujiepushe tu KUHUKUMU pasipo ushahidi wa kutosha. Mkapa ni mtu safi kwa kiwango chake. Alishindwa tu kuidhibiti FAMILIA yake na Mwenyezi Mungu hawezi kukujalia yote!
aaah wapi, mcha Mungu gani alisaini Hati ya Kifo dhidi ya Wapemba wasio na hatia, aah wapi.Mkapa ni Mcha Mungu.
aaah wapi, mcha Mungu gani alisaini Hati ya Kifo dhidi ya Wapemba wasio na hatia, aah wapi.
Ndugu Kilemi,
Una uhakika na uliyo andika?
Angalia, Ijue Kweli nayo Kweli itakuweka huru.
Hongera sana Mzee B. W. Mkapa.
Mbona unaonekana kama mtumishi wa Mungu?? Wewe ni yule askofu aliyechangiwa sadaka nyingi na BWM kwenye harambee ya ujenzi wa kanisa?
hakika mwizi humsifu mwizi mwenzake. Hongera sana dr nkapa
ni kweli usemayo waberoya ..mkapa anastrahiri kufunguliwa mashitaka lakini sijui sheria inasubiri nini kutendeka ??
Ni kweli FirstLady ila wanaotakiwa kumfungulia mashitaka naye anayajua madhambi yao, wamlipue naye awalipue. Nani wa kumfunga paka kengele?
Haileti sense kupoteza muda kwa Mkapa,meanwhile aliyeko madaraki(JK) ni fisadi aliyekubuhu.