Makelele Ya jirani Yananitesa.

Makelele Ya jirani Yananitesa.

CHIBA One

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2018
Posts
558
Reaction score
2,103
Jirani yangu naishi nae kwenye compound Moja na nyumba zetu ziko mbili tu ila zimejengwa kwa kutazamana kwenye madirisha ya Master rooms zetu..

Huyu jirani Ana mke Mmoja ana Tako moja la haja, halafu mpole sana kwa kumtazama, Mke wa huyu jamaa angu ananifanya niwe narudi usiku ili nisimwangalie, Maana Jamaa huanza mechi zake mapema tu kati ya Saa 4 mpaka 5 usiku.

Basi Demu anakelele za miguno, vilio na maneno yanamtoka kwa sauti kubwa.. Napata tabu kwa kweli....

Hebu Tunaoishi Nyumba za kupanga wenye uzoefu na haya matukio tufarijiane cha kufanya!! Kwako ilikuwaje? [emoji16]

Picha haihusiani na mhusika
IMG-20190420-WA0034.jpeg
 
Hapo cha kufanya, wao wakifanya mambo yao we ongeza sauti ya radio ili usisikie hiyo miguno ila kama ukiona unateseka HAMA, kahamie kwingine [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Jirani yangu naishi nae kwenye compound Moja na nyumba zetu ziko mbili tu ila zimejengwa kwa kutazamana kwenye madirisha ya Master rooms zetu..

Huyu jirani Ana mke Mmoja ana Tako moja la haja, halafu mpole sana kwa kumtazama, Mke wa huyu jamaa angu ananifanya niwe narudi usiku ili nisimwangalie, Maana Jamaa huanza mechi zake mapema tu kati ya Saa 4 mpaka 5 usiku.

Basi Demu anakelele za miguno, vilio na maneno yanamtoka kwa sauti kubwa.. Napata tabu kwa kweli....

Hebu Tunaoishi Nyumba za kupanga wenye uzoefu na haya matukio tufarijiane cha kufanya!! Kwako ilikuwaje? [emoji16]

Picha haihusiani na mhusikaView attachment 1120703
Ila nikuombe mtoa mada, Kama unazo picha zaidi za huyo Khadija pilau, naomba unitumie PM [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Mkuu,tupe kazi ya kurusha mawe kwenye mabati ya nyumba yake usiku, hadi ahame!
Trust me, malipo ni nafuu sana mkoani crew yetu inakuja....!!
 
Jirani yangu naishi nae kwenye compound Moja na nyumba zetu ziko mbili tu ila zimejengwa kwa kutazamana kwenye madirisha ya Master rooms zetu..

Huyu jirani Ana mke Mmoja ana Tako moja la haja, halafu mpole sana kwa kumtazama, Mke wa huyu jamaa angu ananifanya niwe narudi usiku ili nisimwangalie, Maana Jamaa huanza mechi zake mapema tu kati ya Saa 4 mpaka 5 usiku.

Basi Demu anakelele za miguno, vilio na maneno yanamtoka kwa sauti kubwa.. Napata tabu kwa kweli....

Hebu Tunaoishi Nyumba za kupanga wenye uzoefu na haya matukio tufarijiane cha kufanya!! Kwako ilikuwaje? [emoji16]

Picha haihusiani na mhusikaView attachment 1120703
Zima main switch hapo hakitafanya kazi kipooza hewa chochote, sio AC wala feni, shoo lazima ihairishwe
 
Ila nikuombe mtoa mada, Kama unazo picha zaidi za huyo Khadija pilau, naomba unitumie PM [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Mkuu... Hzo picha unataka uzifanye nini? [emoji16]
 
Nataka niangalie tu jinsi uumbaji wa Mungu ulivyo mkuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Ila nikuombe mtoa mada, Kama unazo picha zaidi za huyo Khadija pilau, naomba unitumie PM [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nauhakika utapata hitaji lako
 
Zima main switch hapo hakitafanya kazi kipooza hewa chochote, sio AC wala feni, shoo lazima ihairishwe
Poleeee sana kwa dhahama inayokupata mkuu bt dawa ya iyo ktu n kumweleza wambura mtani yule mtangazaji wa RFA ili akusaidie kutupa jiwe la gizaaa........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom